Fuata hatua hizi chache kupata mashine yako ya Max Malipo

ommylufungo

Member
May 25, 2017
42
28
Habar,
Naomba nkusadie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo. Ni rahisi sana.
Andaa document Copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba:
1. Leseni ya biashara
2. TIN no.
3. Kitambulisho chako
4. Picha 2 za passport size
5.Barua ya mtendaji

Garama ni shilingi 674,000/=

Nipe taarifa ukisha lipia mashine kupitia taarifa zet za bank
Accounts Numbers:
NMB: 20110013836 au ofisi ya maxmalipo makumbusho na kkoo
Account Name: Maxcom Africa

Asante kwa ushirikiano wako,
Omary ally
Sales representative
Maxcom africa
0717498954
 
Maxmalipo machine ukiwa nayo unaweza kufanya huduma kama zifuatazo watu wanaweza kulipia kwako
1.kuuza umeme
2.kulipia dawasco
3.kulipia ving'amuzi
4.airtimes(mitandao yote)
5.trafic payment
N.k
 
Hicho kiingilio cha mtu mwenye mtaji wa kiasi gani na atakuwa na uwezo wa kufanya biashara zipi? Shukrani
Maxmalipo machine ukiwa nayo unaweza kufanya huduma kama zifuatazo watu wanaweza kulipia kwako
1.kuuza umeme
2.kulipia dawasco
3.kulipia ving'amuzi
4.airtimes(mitandao yote)
5.trafic payment
N.k
 
Ahsante mkuu. Kama nipo Dar, naweza kupata mashine nikaiweka mkoani nnapotaka kufungua biashara au lazima iwe Dar au mkoa nnapoishi. Shukrani
 
Hiyo nikubwa kweli mnasaidia vip kijana wa kiTanzania kuweza kujikomboa hapo
 
Niko Mwanza naweza unawezaje kunisaidia kupata hiyo mashine?
Kwa mwanza ni rahisi kwan pia kuna ofisi zetu uko utanitumia viambatanisho vyako via email na utalipia bank kisha machine utaichukulia apo mwanza
 
swal jingine kwa baada ya kuipata hio mashine unahitaji mtaji wa sh. ngap ili uanze biashara?
 
Kuna tatizo la kujazia pesa za kutumia tuliopo vijijini. Je kuna utaratibu wa mobile payment ili kuniongezea salio?
 
Commision inaingia kwenye machine kwa kila mwisho wa mwezi na utatumiwa sms ya kiasi ulichopata kama tigo au mpesa vle
The more you transact na ndivo commision yako inavyokua kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…