kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,733
- 16,966
π°πππππππππ°
π #mapinduzicup
β½οΈ Young Africans SC Vs KVZ FC
π 04.01.2024
π Amaan, Zanzibar
π 2:15 Usiku
Ni Match ya Round ya Tatu.
Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali,
Mechi inachezwa kukamilisha ratiba tu.
Tunategemea kupata burudani kweli kweli kutoka kwa Wananchi.
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA.
Kikosi cha KVZ kinachoanza.
#Daimambelenyumamwiko#
Mpira umeanza hapa: Beki za Yanga zinakanganyana kidogo hapa.
6'
Yanga wanafanya shambulizi lisilo na madhara kabisa kwenye lango la KVZ
10'
Yanga 0- 0 KVZ
Mpira unaendelea timu zimebalance game sasa.
15'
Mpira unaendelea, bado milango ni migumu kwa timu zote.
17'
Yanga wanafanya shambulizi kali golini kwa KVZ ila inakuwa goal kick
18'
Offside wanafanya Yanga
25'
KVZ wanapata goli, Inakuwa offside.
No goal
32'
KVZ wanapata Foul nje kidogo ya box ya 18.
Inapigwa inatoka nje.
Goal kick...
40'
Mpira unaendelea
Yanga 0 - 0 KVZ
45'
Nyongeza ni Dakika 3.
45+1'
Yanga wanapata foul nje kidogo ya 18.
Inapigwa inakuwa chakula ya Kipa.
Half-time.
Yanga 0 - 0 KVZ
Kipindi cha Pili kimeanza.
Yanga wanafanya mabadiliko kadhaa.
Shomari Inn
Okra Inn
Moloko Inn
50'
Mpira unakuwa wamashmbulizi upande wa KVZ
53'
Wachezaji wanagongana vichwa hapa.
Mpira umesimama, wanafanyiwa matibabu pale.
55'
Yanga wanapata free Kick inapigwa haileti impact kwa KVZ
57'
Okra anachezewa faulo.
Bado yuko chini refa anaita machela!!
Lomalisa anapasha
Inaonekana Okra amepata Injury kubwa.
60'
Farid Mussa Inn
Kuchukua nafasi ya Okra
64'
Game On...
Yanga 0 - 0 KVZ
73'
Yanga wanamiliki mpira vyema.
Wachezaji wa KVZ wameamua kwenda kupaki basi.
75'
KVZ wanafanya shambulizi kali kwenye lango la Yanga.
Inakuwa kona: inapigwa haizai.
78'
Ngushi anakosa goli la wazi kabisa
80'
Mpira umesimama kuna wachezaji wanafanyiwa matibabu kidogo wa Yanga na KVZ.
86'
Game on...
Hakuna goli hadi sasa.
89'
KVZ wanafanya mabadiliko kadhaa hapa.
90'
Additional ni 5"
Game On.
Bila bila
90+4'
Yanga wanapata kona ya kwanza hapa.
Haileti madhara.
Dakika zimeisha.
FULL TIME