FT: Tabora United 2-0 Biashara United mchezo wa mtoano mkondo wa2( Agg, 2-1) | 16/06/2024| Tabora wasalia ligi kuu kwa msimu ujao

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,330
4,692
Mchezo wa marudiano kati ya Tabora united na Biashara Inited unaendelea.

Ikumbukwe Mchezo wa kwanza biashara United iliibuka na ushindi wa bao 1 lililofungwa kwa Mkwaji wa penati.

Ikitokea Buashara akaibuia na Ushindi leo, au kupata Droo yoyote atakuwa kakata tuketi ya kuoanda ligi kuu kwa msimu ujao.

Na Ikitokea Tabora kashinda leo basi atabaki Ligi kuu, Tabora inahitaji ushindi wowote na si sare ili kujihakikishia nafasi ya kubakia Ligi kuu, vinginevyo itakuwa imeaga mashindano na kushuka daraja kwa ajili ya kwenda championship kujipanga upya.
====
09, Tabora 0-0 biashara
15, 0-0
20, 0-0
25, 0-0
26, Mchezaji wa Tabora afanyiwa madhambi ndani ya eneo la hatari na inakuwa Penati

27, 1-0 Tabora wanapata bao kwa mkaju wa penati

30, 1-0

33, Biashara wanapata kona ambayo Tabora wanaokoa

34, Biashara wanafabya shambulio la hatari kwenye lango la Tabora ambalo Tabora wanaokoa.

40, 1-0
40, Biashara wanapata Faulo kipa wa Tabora anaucheza mpira

41, Biashara wanapata faulo, mpira unaokolewa

43, Tabora wanapata faulo wanaanza mdogomdogo
45, 1-0

DK 2 Zinaongezwa

46, 1-0
47, 1-0

Mapumziko

Kipindi chapili kimeanza

47, 1-0

48, Tabora wanafanya shambulio la Hatari kipa wa Biashara anokoa

50, 1-0
55, 2-0
55, Tabora wanaweka kamba ya pili (Agg, 2:1)

56, Biashara wanapata penati nje kidogo sana ya 18, mpira unapigwa unagonga nguzo na kurudi ndani ya 18, unachezwa tena na biashara kisha unaokolewa

70, 2-0
75, 2-0 (Agg, 2-1)
77, 2-0
85, 2-0
85, 2-0 Tabora wanapata kona inaokolewa
88, Tabora wanapata kona baada ya kipa wa biashara kupangua shuti kali lililopigwa langoni kwake, hata hivyo anaokoa tena mpira huo

90, 2-0

Dakika 5 zinaongezwa
93, 2-0
95, 2-0
96, 2-0

90, zimekalmilika. Mpira umekwisha, Tabora wamesalia ligi kuu, wameteta nafasi yao ya kubaki ligi kuu kwa ushindi wa magoli 2 kwa 0 wakiwa nyumbani uwanja wa Al Hassan Mwinyi Mkoani Tabora.

1718550155679.jpeg
 
Nina imani mechi itakuwa nzuri mpaka dakika ya 90! Sina hofu kabisa na mwamuzi Arajiga. Bila shaka mshindi pia atapatikana kwa haki.
Siyo mechi ya wanaume, halafu wanatuletea wale waamuzi wao akina Tatu Malogo.
 
Biashara wanacheza vizuri, naona kabisa wakishinda ndani ya dk 90. Penati uzembe wa beki. Kimchezo inaonesha Tabora walistahili kushuka daraja kabisa.
 
Back
Top Bottom