Kweli Ruge alisema ogopa Mungu na teknolojia, haya ndio Simba hawakutaka wayajuwe Watanzania.Dak 25 CSKA 1 Simba 0
Fuatilia live mtanange huu kwa link hii
Kakudanganya nani? Hapo ndio wachezaji wanajiona si lolote si chochote, mechi ya kwanza mmefungwa na timu dhaifu inayoshika mkia, leo mpo na Warusi mnapigwa nyingi, halafu Mbeya city wanapakia vumbi kabisa wapige kwenye mshono.Simba mmejitahidi, hata mkifungwa 29 exposure ya mechi ya leo itawajengea sana kujiamini na kutoziogopa timu kubwa
Labda kushinda njaa, hapo Simba wapambane kupunguza kapu la magoli tu.Safi sana.Simba kuna kitu watapata aijalishi watashinda au kufungwa.
Unanikumbusha Al Sahaf wa Iraq.HT
Aisee mpira ni mzuri na Simba imecheza vizuri sana tangu nilipoanza kuangalia dakika ya 25
Morale ya wachezaji nayo ipo juu sana
SawaaaPiga hao kenge
Umetumia app gani kutazama?