FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,498
7,065
Mechi kali ya mkondo wa kwanza Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika inapigwa leo, ambapo Mnyama Simba SC anawakaribisha Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini, katika dimba la Amaan, Visiwani Zanzibar.

Mchezo huo utachezwa kuanzia saa 10:00 jioni.

Kaa karibu kwa Live updates

1745132839251.png

Asubuhi Zanzibar watu wameamka na baraka ya mvua kuelekea mtanange mkali jioni ya leo


Kutoka nje ya Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar mvua inaendelea kunyesha.

Baadhi ya mashabiki wa Simba wameanza shangwe mapema nje ya Uwanja wa New Amaan Complex kuelekea mchezo wa saa 10 wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini.

Namna mambo yalivyo muda huu New Amaan stadium Zenji kuelekea mbungi ya Jioni hii baina ya mnyama na msauzi.


Stellenbosch wako uwanjani kwa ajili ya ukaguzi wa sehemu ya kuchezea uwanjani.

Kikosi Simba SC kikiondoka kambini kwenda uwanjani.


Kikosi cha Simba Sports Club dhidi ya Stellenbosch FC, CAFCC

1745150978745.png
Kikosi cha Stellenbosch FC dhidi ya Simba Sports Club, CAFCC

1745153046159.png

Mechi imeanza: Simba SC 0-0 Stellenbosch FC

1' Stellenbosch FC wameanzisha mtanange
4' Kona - Simba wanapiga
8' Faulo - Stellenbosch FC wanapiga
10' Faulo - Stellenbosch FC wanapiga
12' Kona - Simba wanapiga
15' Faulo - Simba SC wanapiga
16' Kona - Simba wanapiga
17' Kapombe anakosa kutumia nafasi
18' Mechi imesimama - Masuluke (GK) anatibiwa
20' Mechi inaendelea, hakuna mbabe
21' Kona - Simba wanapiga
22' Ngoma anafanya madhambi
25' Faulo - Simba wanapiga
27' Camara anafanya save
30' Kona - Simba wanapiga
35' Kadi ya Njano - Enyinnaya

Dakika 4 zimeongezwa

45+2' Goooal - Ahoua

VAR - Goal Check

45+6' Maamuzi ya VAR - Goal

HALF TIME


Simba SC 1-0 Stellenbosch FC
J. Ahoua 45+2'

Kipindi cha pili kimeanza

45' Simba wanaanza mpira
48' Kichwa - Ahoua anapoteza nafasi
61' Mechi imesimama - Camara anatibiwa
73' Mapadiliko - Simba SC (Kibu Out-Mutale In, Zimbwe out-Nouma In)
80' Mabadiliko - Simba SC (Chamou out-Debora In)
84' Mabadili - SImba SS (Mukwala out-Ateba In)

Dakika 6 zimeongezwa

FULL TIME
HALF TIME


Simba SC 1-0 Stellenbosch FC
J. Ahoua 45+2'
 
Back
Top Bottom