Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,453
- 3,650
👍😆😂🤣MC Alger tuko pamojaView attachment 3197436
Unapiga matrix mpaka s.calculator inazimaMC Alger tuko pamojaView attachment 3197436
Hii Tp Mazembe sio sawa na hawa viwete ambao mlikuwa mnashangilia siku ya draw mlivyopangwa nao.Kila la heri friends of simba, TP MAZEMBE
View attachment 3197444
Dah umenikumbusha mbali sana MT something...MC Alger tuko pamojaView attachment 3197436
😂Kimahesabu bado Yanga ana nafasi ya kupita.
Mahesabu yenyewe
View attachment 3197441
View attachment 3197443
View attachment 3197445
Punguza Tempa Kwanza Bwana MdogoHii Tp Mazembe sio sawa na hawa viwete ambao mlikuwa mnashangilia siku ya draw mlivyopangwa nao.
Mlishangilia kwasababu mlijua mnakutana na timu mbovu na ndio maana hizo point 4 mmechukua kwenye timu hiyo hiyo.
Tp Mazembe yupo kwenye vikwazo vya CAF vya kutosajili, Mazembe kaondokewa ja wachezaji wake wa 5 waliokuwa wanaanza 1st eleven.
Tp Mazembe ililazimu kutumia wachezaji wa kikosi B kuja kuziba mapengo ambayo yalikuwa hayana wachezaji.
Tp Mazembe ililazimika kumtumia kipa wake Shaibu kama striker kutokana na wachezaji wa eneo hilo kukosekana.
Tp Mazembe ikija NBC haiwezi kumaliza msimu bila kushuka daraja.
Ni ujinga sana kutamba kumfunga mpinzani ambaye ni dhaifu na kuweka mifano ya ushindi aliowahi kupata dhidi ya Simba kipindi wakati Tp Mazembe alikuwa bora.
kwakuwa hatukupanga sisi wacha tutambe.Hii Tp Mazembe sio sawa na hawa viwete ambao mlikuwa mnashangilia siku ya draw mlivyopangwa nao.