Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
FULL TIME
90+3 Dakika tatu za nyongeza kuelekea kumalizika kwa mchezo
90' Phiri anapata nafasi anashindwa, shuti lake linapaa juu ya lango
77' Simba wanafanya mabadiliko, anaingia Kibu anatoka Bocco, anaingia Kennedy anatoka Onyango
Bocco anafunga goli la nne kwa Simba na la tatu kwake katika mchezo huu
68'
Goooooooooooooooooooaaal
Onyango anapewa kadi ya njano kwa utovu wa niadhamu
52' Timu zote zinafunguka, huku Ruvu walijitoa mhanga kushambulia
50' Ruvu wamerejea na nguvu, wamefanya mashamulizi mawili makali
Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza
MAPUMZIKO
45' Mwamuzi anakamilisha kipindi cha kwanza
38' Mabadiliko kwa Simba, Akpan anaingia anatoka Kanoute ambaye ameumia
Shomari Kapombe anafunga kwa shuti akimalizia pasi ya Chama
36’
Goooooooooooooooooaaal
34’ Salum Kipaga wa Ruvu anapewa kadi ya njano
29’ Bocco anakosa nafasi ya wazi, shuti lake linapanguliwa na kipa
25’ Simba wanafanya mashambulizi mfululizo
22' Shambulizi kali langoni mwa Ruvu, shuti la Phiri linatoka nje
18'
Goooooooooooooooooaaal
Bocco anafunga goli la pili akimalizia pasi ya Chama
13' Simba wanamiliki mpira, wanafika langoni mwa Ruvu lakini wanakosa umakini
03'
Bocco Goooooooooooooaaal gooal John Bocco anatupia kambani bao la kwanza akimalizia kazi nzuri ya Chama
00' Naaam mpira umeanza Uwanja wa Benjamin Mkapa
================
Vumbi la Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kutimka leo Novemba 19, 2022 ambapo Maafande wa Ruvu Shooting wanakiwasha dhidi ya Mnyama Mkali Mwituni Simba SC
kwenye Uwanja wa Stade de Benjamin Mkapa
Dar es salaam.
Hii mechi huenda ikawa ya moto sana na ushindani wa kutosha ndani ya dimba kutokana na timu zote mbili kuwa na Makocha Malegendari wa Vilabu nchini Tanzania, Charles Mkwasa na Juma Mgunda.
Kocha Msaidizi wa Ruvu Shooting amesema haya kuelekea mchezo huo. "Tumetoka Uwanja wa mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo, Simba ni timu kubwa na bora tunawaheshimu lakini tutaingia kwa kushindana ili kupata matokeo chanya". Amesema Kocha Msaidizi wa Ruvu.
Naye Kocha wa Simba SC amesema haya kuelekea mchezo huo. "Maandalizi yanakwenda vizuri tuna mechi muhimu na ngumu na utakuwa mchezo wa ushindani, kuhusu Chama amerudi kundini anaendelea vizuri na kwa mapenzi ya mungu kesho (leo) atakuwa kwenye kikosi". Amesema Kocha wa Simba.
Ruvu Shooting Je, wapo tayari kuzuia malengo ya Simba na wao kupata ushindi au Boli Litatembea na wao Simba kupata ushindi.!? Dakika 90 za jasho na damu kuamua.
Kumbuka mchezo ni kuanzia saa 1:00
Usiku. Usikose Ukaadithiwa Yaani.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana