FT: Ethiopia 0 - 2 Tanzania | AFCON QUALIFICATION | Stade des Martyrs - DRC | 16-11-2024

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
10,334
15,847
Match Day.
20241116_190349.jpg

KIKOSI CHA TANZANIA KINACHOANZA LEO
20241116_190319.jpg

Mpira ndio unaanza sasa.

Updates
Game on
05'
Tanzania wanafanya mashambulizi hafifu kidogo kwenye lango la Ethiopia.
Tanzania wanatawala game.

06'
Msuva anakosa goli la wazi kabisa hapa,
Amepata assist nzuri sana toka kwa Samatha.
Namna gani palee
Anakosaaaa tena.

08'
Ethiopia wanafanya shambulizi moja hapa lakini halileti matumaini.

10'
Mzizee anakosa tena hapa.
Taifa stars wako vizuri sana
0-0

14'
Game on.
Bado umiliki wa ball ni kwa Taifa stars
0-0

15'
Tanzania wanapata kona inapigwa na Miroshi.
Inapigwa inajaa kwenye kichwa cha Msuva...
Goooooooooooal ni goli hapa.
Chumaaaaaaaaa
Msuva anaipatia Taifa Stars goli la kuongoza.
0-1.

23'
Game imesimama kidogo kuna mchezaji wa Taifa stars yuko chini.
0-1

29'
Feiii
Anakosa.

30'
Goooooooooooal
Feisaliiii
Chuma cha pili. Baada yakupokea assist mujarabu sana kutoka kwa Mzize
0-2

34'
Ethiopia wanafanya shambulizi linatolewa nje, inakuwa kona wanapiga kona ya haraka haileti madhara yoyote kwenye lango la Taifa stars.
0-2

39'
Ethiopia wanapata free kick nje kidogo ya 18 inapigwa inatoka nje.
Goal kick

45'
Additional time 2'
Msuvaa, mpira unatolewa nje.
Taifa stars wanapata kona ya pili
Inapigwa inakuwa goal kick.

HT
Ethiopia 0 - 2 Tanzania.
==================
Kipindi cha Pili.

47'
Game on
Ethiopia wamefanya mabadiliko mawili yanaonekana kuwasaidia kidogo.
0-2

59'
Samatha na Msuva wanakosa nafasi ya wazi kabisa kabisa.
Namna gani hapa bana.
0-2

64'
Kibu Inn
Mzize Out
Miroshi Out
Mtasimgwa Inn

67'
Kumeibuka vurugu kidogo Uwanjani baada ya Samatha kupigwa kwenzi la kichwa na mchezaji wa Ethiopia.
Hussen Zimbwe akataka kujibu.
Mpira bado umesimama kidogo.
Kutuliza taharuki iliyoibuka hapa Uwanjani.

70'
Game on.
Kibuuuu amekosaaaa,
alikuwa tayari ni Offside

81'
Ethiopia wanakosa goli la wazi hapa.
Mabeki wa TANZANIA wanafanya uzembe.
0-2

84'
Mudathir Out
Samatha Out
Saaduni Inn
Ame Inn
0-2

90+5'
Msuva Out
Msindo Inn
Taifa stars wanapata kona haileti.
madhara

Full Time.
Ethiopia 0-2 Tanzania
IMG-20241116-WA0027.jpg
 
Hesabu za vidole ni hivi....

Tushinde mechi ya leo kwa namna yoyote

Guinea afungwe na Congo leo

Keshokutwa tumfunge Guinea

tunakuwa wa pili tunafuzu Afcon
 
Back
Top Bottom