Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,234
- 3,318
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Mbowe amesema kuwa mojawapo ya faida ya maridhiano ni chama hicho kununua jengo lao la Bilioni 1 na laki 6 ambalo liko Mikocheni.
Mbowe amesema kuwa kupitia maridhiano na Rais Samia, CHADEMA waliweza kuanza kuchukua ruzuku ambazo ndizo zilitumika kununua jengo hilo la Mikocheni ambalo ndiyo makao makuu ya chama hicho.