johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,005
- 168,417
Mbunge wa Monduli Fred Lowassa amemshukuru Askofu Mkuu mteule wa KKKT, Dkt. Alex Malasusa kwa namna anavyowatunza kiimani na wanamwombea Baraka tele katika majukumu yake mapya.
Askofu Malasusa ni Mwanafamilia yetu na baba yetu wa kiimani ametutunza Sana tulipopitia Majaribu na matatizo tunamwombea kwa Mungu ambariki zaidi na zaidi, amesema Lowassa.
Lowassa alikuwa anaongea na Waandishi wa habari nyumbani kwake Monduli leo.
Source: Upendo TV Taarifa ya Habari
Mlale unono 😀