umesha conclude hata kabla ya Obama mwenyewe kuongelea swala hili.Obama KAMWE hawezi kufanya upuuzi kama huu. Obama should sue him asap.
umesha conclude hata kabla ya Obama mwenyewe kuongelea swala hili.
Yaani wewe ni 'zaidi' ya Obama....
Kumbuka kashfa kama hizi ni kubwa.
Wakati uleeee... wa 'watergate' jamaa walikanusha hivi hivi,... lakini baadaye......!!!!!
Obama anaweza kufanya lolote lile.Subiri utarudi kuniambia kuhusu hili. Obama kamwe hawezi kuruhusu upuuzi kama huu. Hizi ni techniques za Trump kudeviate attention kutoka kwenye scandals zake za kuhusiana na ukaribu wake na Russia.
Subiri utarudi kuniambia kuhusu hili. Obama kamwe hawezi kuruhusu upuuzi kama huu. Hizi ni techniques za Trump kudeviate attention kutoka kwenye scandals zake za kuhusiana na ukaribu wake na Russia.
Obama anaweza kufanya lolote lile.
Kama ameweza kufanya mambo ya 'kipuuzi' kuliko marais wote wa marekani waliopita, atashindwa nini kufanya hili..??
Aliweza 'kulazimishia' sera zake za ushoga kwa mataifa yanayohitaji misaada kutoka marekani.
Hakuna rais yeyote wa marekani aliyewahi kufanya huo 'upuuzi'... na labda hatakuja kutokea...
Huo nilioandika ni mfano mmoja tu wa uwezo wa Obama kufanya 'upuuzi'.Mkuu achana na ushoga hapa tunazungumzia subject husika. Uzi huu hauna mahusiano yoyote yale na ushoga. Kama unataka kujadili Obama na kuruhusu ushoga fungua uzi mwingine.
Huo nilioandika ni mfano mmoja tu wa uwezo wa Obama kufanya 'upuuzi'.
Wewe umeandika kuwa Obama hawezi kufanya upuuzi...!!!
Sasa nikaona nikuonyeshe mfano mmoja tu wa upuuzi ambao huyo unayemtetea ameshaufanya saaana tu...
Sasa naamini unaweza kuelewa kuwa Obama anaweza saaana tu kufanya upuuzi.....
Trump bana...ni sampuli za akina Makonda na Gwajima tu.
Bila hata ya kutoa ushahidi anakuja na bonge la accusation hahahaaa.
Sasa rais mzima anatoa tuhuma kubwa kama hiyo halafu hatoi ushahidi...shameful.
He's too dramatic.
Ngoja tusubiri labda anaweza kuja na evidence ya hili, lakini jinsi alivyo na credibility ya chini sidhani kama ana ushahidi. Na kama hana ushahidi ahueni yake ni Obama kuamua kukaa kimya lakini akiamua kumfungulia mashtaka ili alipwe fidia basi credibility yake itazidi kuanguka na kuongeza dosari nyingine katika hii awamu yake ya kuwemo WH.
Hahahahah Trump ni BashiteTrump bana...ni sampuli za akina Makonda na Gwajima tu.
Bila hata ya kutoa ushahidi anakuja na bonge la accusation hahahaaa.
Sasa rais mzima anatoa tuhuma kubwa kama hiyo halafu hatoi ushahidi...shameful.
He's too dramatic.
Trump bana...ni sampuli za akina Makonda na Gwajima tu.
Bila hata ya kutoa ushahidi anakuja na bonge la accusation hahahaaa.
Sasa rais mzima anatoa tuhuma kubwa kama hiyo halafu hatoi ushahidi...shameful.
He's too dramatic.
Oh wow...look at you! You're back!U republican republican wako na u trampu trampu imekuishia?
Hata Mimi nashangaa huyu jamaa amemgeuka trumpU republican republican wako na u trampu trampu imekuishia?
Obama KAMWE hawezi kufanya upuuzi kama huu. Obama should sue him asap
Tatizo alilonalo Trump ni kutokujua toka mwanzo ugumu wa kuongoza taifa la marekani kama RAIS; hivi sasa ndio anaona ugumu wake na kutafuta jinsi ya kutokea, anaweka visingizo vyote vya kushindwa kwake kutawala kwa mtangulizi wake!!!