HUYU MTOTO MATOKEO YA MTIHANI WAKE NI HAYA: CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'B' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'C.
Je, anaweza kujiunga na Diploma ya sayansi (Ile ya chuo kikuu cha Dodoma)?
Na Process zikoje? Sababu hataki kwenda muda form six? pia huyu mtoto ni yatima hana wazazi wote. anaishi na bibi yake tu!
Msaada jamani!