Mavindozii JF-Expert Member Oct 20, 2012 2,111 2,779 Mar 12, 2016 #1 wakuu wa Nchi naomba kuuliza hivi hii bidhaa tajwa hapo juu inatibu kisukari type 2? Maana kuna mama mmoja aliniambia ametumia na akapona kabisa .sasa sijawa na uhakika asilimia 100 naomba kama Kuna mtu ambaye ameshatumia atujuze please
wakuu wa Nchi naomba kuuliza hivi hii bidhaa tajwa hapo juu inatibu kisukari type 2? Maana kuna mama mmoja aliniambia ametumia na akapona kabisa .sasa sijawa na uhakika asilimia 100 naomba kama Kuna mtu ambaye ameshatumia atujuze please