Foreign currency account (kufungua akaunti ya pesa za kigeni kwa hapa Tanzania)

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
7,714
7,403
Habari za shughuli ndugu mabibi na mabwana. Nataka nieleweshe nini faida na hasara ya kufungua account za pesa za kigeni, ili kulinda pesa yangu kushuka thamani nataka kujua kodi, kiwango cha kuanzia, kibali cha kufungua na mambo mengine yanayohitajika
 
Waweza fungua USD account CRDB ni raic sana na procedure ni zilezile za kufungua account ya kawaida. Depost ni USD100. Kwa mwez wanakata arround 7USD. Faida ya account kama hii waweza itumia kama credit card ukiomba wakuonganishie online unafanya online banking nikimaanisha waweza fanya hta manunuzi kwenye internet kama Ebay, Amazon etc. Waweza pia linki card yako na Paypal.
 
Ivi kama makato yake $7 kwa mwezi sasa apo Kuna faida apo faida inakuaaje. Au wanakata kama mwezi kama ujaweka pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…