For Sale: Portable Speakers

Pellman

Senior Member
Feb 13, 2017
195
220
FOR SALE:




Wireless mobile speakers
BeatsPill+ Dr. Dre by APPLE
Brand new in a box
White or black
Built in speakerphone
12hour battery

400,000/= each
 
FOR SALE:




Wireless mobile speakers
BeatsPill+ by Dr. Dre
Brand new in a box
White or black
Built in speakerphone
12hour battery

400,000/= each
Mkuu mbona bei imechangamka hivyo!? Unataka kusema ina sound nzito sana!? Maana miaka flan niliwahi kuiona spika ndogo kama kiganja tu kule Tumain univercity Iringa, lakin sound ilokuwa inatoka pale ilikuwa balaa! Hebu nipe ubora wake
 
Duuh lak 4 asee si mchezo maana hiyo ni bei ya home theatre ya watt 500
 
Mkuu mbona bei imechangamka hivyo!? Unataka kusema ina sound nzito sana!? Maana miaka flan niliwahi kuiona spika ndogo kama kiganja tu kule Tumain univercity Iringa, lakin sound ilokuwa inatoka pale ilikuwa balaa! Hebu nipe ubora wake

Sound ipo vizuri sana, lakini bei inaakisi sio sauti tu bali teknolojia iliyobebwa ndani humo pamoja na ubora pia. Ni kifaa cha kudumu muda mrefu pamoja na pilika pilika za kubebwa kwenda mchangani baharini, kijijijini, kuanguka n.k.

Ni bluetooth, hakihitaji mawaya. Japo kinayo AUX port, manake mtu anaweza kuwa na simu ambayo yenyewe ndio inachengua bluetooth, unachomeka AUX. Pia inayo speakerphone, simu ikiingia mziki una pose simu ina pick up kwenye speaker, simu ikikatwa mziki unarudi pale pale.

Speaker hii pia inaweza ku charge vitu kama simu vilevile, kwa sababu inakaa na charge masaa 12 (kama inatumika mfululizo) na huwezi kusikiliza mziki masaa 12 mfululizo kwa hiyo huwa ina extra charge inayoweza kutumika ku charge simu na inakaa for days and days.

Pia inapokea multiple bluetooth signals kwa mpigo, kwa hiyo watu wawili mnaweza kukiweka katikati mkawa kila mmoja anachagua mziki wa kupiga kutoka kwenye simu yake, bila mawaya.
 
Kama ni original brand kwa bei hiyo ni sawa. Utaijuwaje kama ni original. Sound yake ni High Fidelity. The Bass should have heavy kick

Kumbe unazielewa bei zake eeenh?

Alhamdulilah kuna watu japo wanajua kwamba hatufanyi ulanguzi. Tena hapo imepungua bei kuliko inavyouzwa dukani huko mbele.

Sio feki mzee, nitajitia aibu kuleta vitu feki halafu watu wananijua natoka UK and USA, nikiuza feki watu watajua nawazunguka naokota vitu hapa hapa, itakuwa mwisho wa biashara yangu. Nimekataa kufanya biashara za China, siijui kabisa nchi ile na sijafikiria kwenda.

Utajuaje ni original, labda kwenye website yao section ya register your product unaweza ingiza serial number yake kama itaitambua. Ukikuta feki huchukui.
 
Duuh lak 4 asee si mchezo maana hiyo ni bei ya home theatre ya watt 500

Home theatre umeme uki boomer na yenyewe inakata. Hii portable speaker inasubiri masaa 12 kama umeme haujarudi ndo inakata.

Home theatre zina mawaya mawaya ya kuunga unga sebuleni mengi mno, mtoto anaweza kuvuta kiwaya kimoja system yote kuuule. Halafu home theatre huwezi kwenda nayo baharini, au kijijijini kwa wale ambao hawaendi baharini.
 
Umesomeka kiongozi.
Upo wapi??
 
Nahisi ni typing error,ninayo kama hiyo bluetooth speaker na nilinunua elfu ishirini tu.
Ina redio,unaweza itumia kama speaker,unapokelea simu na kuongea wireless na simu.sauti ni nzito na unaichaji na unaenda nayo popote na kukaa hata masaa manne bila kuchaji .
Bei ni elfu ishirini .kwa laki nne labda kubwa sana kama sub woofer.
 
Umesahau kutuwekea power mkuu hapo kwenye specification...


Technical specs hakuna mzee, APPLE wamekataa kutoa technical specs za speaker.

Ukienda hapo chini kwenye website link ya APPLE sehemu ya technical specs utaona wanaeleza mambo ya urefu na uzito wa speaker na size ya AUX port na vitu vya juu juu kama hivyo.

Mara nyingi kampuni kubwa ikikataa kutoa technical specs za ndani ni kwa sababu hawataki watu wapotoshwe na vipimo vya watts and decibels bila kujua undani wake. Yani kuna kazi, vifaa, ufundi na ubora ambao wao wanaona wameu invest humo ndani ambao haupimiki na vipimo vilivyozoeleka vya umeme na sound decibels. Wakikwambia vipimo vya umeme tu utalinganisha kifaa na hicho cha 20,000/= cha ndugu yangu hapo juu halafu utakuwa huwatendei haki.

Beats Pill+ Portable Speaker - White
 
Ni kama hiyo, lakini haiwezi kuwa Beats Pill. Those little pills are pricey!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…