Football Wallpapers Thread

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
2,168
4,333
Habari Mwana Michezo.
Mpira kama tujuavyo ni Mchezo wenye Matukio mbalimbali ambayo huacha kumbukumbu katika Akili zetu.

Kwa kulitambua hilo Leo hii nimeonelea nianzishe huu Uzi, hapa utakutana na kila aina ya Picha uipendayo na itakayo kukumbusha Tukio/Matukio ya kimchezo ambayo uliwahi kuyashuhudia.
Na pia kwa wale wanaopenda ku kuweka Wallpapers za Mpira katika Simu zao hapa utakutana na hizo wallpapers.

Wale wanaopenda kutengeneza Picha mbao za Mpira kwa ajili kupendesha ndani mwao hapa utazipata.

Ukiwa nazo we Tupia tu hapa watu tukumbuke matukio.

Twende pamoja
IMG_20240703_061551_150.jpg
IMG_20240701_131419_774.jpg
IMG_20240629_194123_212.jpg
IMG_20240701_131704_229.jpg
 
Back
Top Bottom