Wewe mbona unawatch ajira dailyfood technologist huwezi kufanya usindikaji wa vyakula ujiajiri mwenyewe?
una uhakika na UNACHOKINENA?Wewe mbona unawatch ajira daily
Ndiyouna uhakika na UNACHOKINENA?
pole sanaNdiyo
Unamfahamu nkanga chief ?pole sana
ni shemeji angu huyoUnamfahamu nkanga chief ?
Hahahha anakusalimiani shemeji angu huyo
Sasa ndo umuelekeze vizuri mahali zilipo izo ofisi,cyo kila atakuwa anakufahamuWw huwezi kosa kazi ndgu fatilia World vision ,Imma world Health na PCI tanzania wana ajili sasaiv ndo wana miradi mingi tena recently tu iko on unakisaje kaz umesoma hayo mambo aseee
Huo mtaji wa mil 2.9 anaupataje na kama ni direct toka chuo, acheni utani nyie.Ukipata mtaji wa 2.9M waweza anzisha kiwanda kidogo food processing meal, kutengeneza chill& tomato source, sweety wines, popcorn, na juice ........usiwe mvivu kuwaza namna ya kujiajiri. Kama umemaliza SUA nitakupatia kipaumbele
Msaada kuelimishwa;Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume, mchapakazi, mwaminifu, nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka 2015, nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta kazi lakini mpaka sasa bado sijafanikiwa. Naombeni msaada wenu jamani naamini humu wapo wenye makampuni, nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote. Nipo Dar es salaam 0758 106 501
Sawa ndugu nitakutafutaNitumie cv yako. Tuwasiliane. 0655308308
Ahsante ni wazo zuri ila tatizo ni mtaji mkuuUkipata mtaji wa 2.9M waweza anzisha kiwanda kidogo food processing meal, kutengeneza chill& tomato source, sweety wines, popcorn, na juice ........usiwe mvivu kuwaza namna ya kujiajiri. Kama umemaliza SUA nitakupatia kipaumbele