FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,252
- 44,307
Kuna foleni kali ya ajabu inayosababishwa na matuta na rasta mpya eneo la Lugalo zilizowekwa jana au leo nadhani, needlessly. Je, aliyeweka hayo matuta na rasta akapimwe akili?
============================
Wameondoa rasta ndogo ila bado tuta kubwa kama mlima limeachwa na linaendelea kusababisha foleni kali!!!
===============================
Update: kesho yake tu (12/04/2022)
============================
Wameondoa rasta ndogo ila bado tuta kubwa kama mlima limeachwa na linaendelea kusababisha foleni kali!!!
===============================
Update: kesho yake tu (12/04/2022)
Kilio cha WanaJF kimesikika, Matuta ya Lugalo barabara ya Bagamoyo yamepunguzwa
Yale matuta yaliyokuwa kero pale Lugalo kwa kusababisha foleni, Baadhi yameondolewa, nimeona yamebaki moja kwa pande zote pale ambapo junction ya kuingilia Lugalo. --- Pia soma - Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?
www.jamiiforums.com