Flight that took off in 2017 landed in 2016

the space remain the same haijui back in time wala nini
 
ili paa jan ari elf mbi lin aku min asa bai kat ua des emb elf umb ili nak min asi ta

Hahahahahahaa daaah umefikiria nini sijui. ......
Najua kuna watakao toka kapa hapa na kuuliza umeandika nini. Hii ndo maana ya codes au key words. Hapo wanaojua mawasiliano ndo wataelewa.
Nimeipenda...
 

Hii ilinitokea mwaka flani hivi, niliondoka Dar es Salaam tarehe 23 December nikafika Marekani tarehe 22 December.

Hayo ndo mambo ya mahesabu, jiografia, fizikia na unajimu sijui unahusika. ........

Ndege niliyokuwa nimepanda ilikuwa na screens ambazo zilikuwa zinaonesha ndege inavoenda kama huangalii movie. Ilipofika eneo la giza na mwanga kujitenga niliangalia na nikabaki nashangaa. Sijui kuielezea ila unakuta kuna mstari umechorwa kama waves za up and down halafu kuna sehemu kuna giza kwingine mwanga.... aah nashindwa kuelezea zaidi.
 
Ndege ya shirika gani? Inaruka direct kutoka Dar hadi wapi huko Marekani?
 
Ndege ya shirika gani? Inaruka direct kutoka Dar hadi wapi huko Marekani?

Hapana, not one way. Tulikuwa na connection Dubai. Na hiyo badiliko ya mwanga na giza sehemu moja ilikuwa kutoka Dubai hadi Marekani ambapo ilichukua masaa 17+ angani.

Ndege za ER
 
Mlipita kwenye International Date line..
 
Nakumbuka wakati wa kuingia karne mpya mwaka 2000 nchi ya kwanza ilikuwa Kiribiti na ya mwisho (baada ya masaa 24) ilikuwa Western Samoa.

Kwa hiyo upo uwezekano kabisa wa ndege kutoka Shangai (far east) tarehe moja naukisafiri kwenda magharibi kuelekea San Francisco unarudi nyuma kwa masaa kadhaa
 
Ooh asante sana yeah ni hiyo hiyo international date line. ... yaani hivi vitu kama huvijui unaweza sema uchawi wa kizungu kumbe sayansi tuu.

sio sayansi mkuu Kasinde ila ni maajabu ya Mungu,,,, kutenganisha usiku na mchana ni Mungu alifanya na wala has nothing to do with science!......

nataman na mimi nije nioe hicho ulichoshuhudia wewe, looks amazing tho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…