King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,061
- 2,670
Kwa wale wapenzi na mashabiki wa Ferre Gola Le padre, aliyebarikiwa sauti nzuri na kipaji kikubwa cha kuimba mziki mzuri wa Rhumba kutoka DRC CONGO. Masaa 22 yaliyopita kutoka kwenye akaunti yake ya youtube, ameachia nyimbo nzuri inayoitwa plus jamais seuls.
Inayozungumzia vita vinavyoendelea katika nchi ya CONGO, na mateso wanayopitia wakongo kutokana na vita hivyo. Ndani ya nyimbo hii Ferre gola amejitahidi pia kuimba kwa lugha ya kiswahili. Ukisikiliza nyimbo hii ambayo inahuzunisha sana kutokana na ujumbe uliopo ndani yake. Hapa ndio utajua kuwa huyu kiumbe ni hatari sana.