Xi jiping
JF-Expert Member
- May 7, 2021
- 628
- 916
Well, kwa msiofahamu
Feminism ni idea ya kumuona mwanamke na mwanaume sawa. Yaan kifupi ni wale wapigania haki sawa kwa mwanamke yuko sawa na mwanaume.
Watu hawa huamini kuwa mwanamke yuko sawa na mwanaume licha ya kwamba tumeumbwa tofauti kibaolojia na kukuzwa tofauti kijamii. Kibaolojia mwanamke
Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume. Jamii nyingi zinamkuza mwanamke hivi na kumlea mwanaume kama kiongozi.
Kiimani
Mwanaume ni kiongozi wa familia na mke ni msaidizi, waweza rejea kwene vitabu vyako vya dini.
TATIZO LA FEMINIST
Nchi zote zilizo na movement za hizi idea utaona kuna anguko la jamii, mama si mlezi wa familia, mama ni kichwa cha familia na matokeo yake:

- Anatofauti na mwanaume kimaumbile
- Kihisia ( wanawake wako emotion)
- Kinguvu za mwili ( mwanamke mwili wake hauna misuli mingi ila fat kwa sana)
- Ubongo (sayansi inakili kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke ambazo zinaweza kuonekana kwene ubongo
- Kihomoni (kuna tofauti kati ya homoni za mwanaume na mwanamke)
Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume. Jamii nyingi zinamkuza mwanamke hivi na kumlea mwanaume kama kiongozi.
Kiimani
Mwanaume ni kiongozi wa familia na mke ni msaidizi, waweza rejea kwene vitabu vyako vya dini.
TATIZO LA FEMINIST
Nchi zote zilizo na movement za hizi idea utaona kuna anguko la jamii, mama si mlezi wa familia, mama ni kichwa cha familia na matokeo yake:
- Watu hawazai
- Watu wanakuwa na matatizo ya mahusiano
- Mashoga wanaongezeka
- Hamna maadili
- Hapiki
- Hafui nguo
- Hanyonyeshi
- Hazai
- Halei mtoto