kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,591
- 14,047
Kuwa na pesa na kuwa na mafanikio ni vitu tofauti, binadamu anahitaji vyote kwa nyakati tofauti. Pesa zinaisha lakini mafanikio (legacy) yanadumu.
Kiwango cha FeiToto kwenye football kiko kwenye kilele chake cha juu lakini kinatumika kuisaidia Azam kubaki ligi kuu badala ya kuipeleka kwenye mashindano ya CAF, EUFA. Mzize ni shipukizi lakini tayari dunia imemtambua.
Aliyemshawishi Fei kutoka Yanga ili kwenda Azam ninamchukia, amempotosha na kumkosea kijana. Wakati wemzake walioko Yanga na Simba wanahangaika (show case) na mashindano ya CAF yeye anahangaika na mashindano ya Mapinduzi cup; hii ni sawa na kuwinda inzi kwa rungu.
Hela ndiyo, lakini siyo hivyo!!! Kila mtu lazima aache kitu kwenye eneo lake kabla hajafa. Yule ambae atashindwa kuacha alama basi apande hata mti wa kifuli utakaomfanya watu wamkumbuke.