Fedha za nchi zinapatikana vipi?

Feb 23, 2014
85
49
Habarini wanajamvi !!!
Nipo kwenye tafakuri nzito juu ya chanzo au namna ambavyo nchi flani hujipatie kias chake cha fedha
Inajulikana kuwa kuna nchi mahsus ambayo ndiyo hutengeneza fedha zote duniani..
Hoja.
1 nchi nyingine hutumia utaratibu gani wa kupata fedha hizo???
2 ni kwa kiwango gani ambacho pesa hizo zitazalishwa kw nchi husika mfano Tanzania?
Msaada wanajamvi juu ya hili
 
NCHI HUPATA HELA KUPITIA KODI ZINAZOTOZWA KWENYE BIDHAA

MFANO TZ. PALE TRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…