johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,961
- 164,209
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema si haki kumshambulia Zuhura Yunus kwa Sababu ya kubadilishiwa kituo Cha Kazi
Karume amesema Zuhura ni rafiki yake na anakerwa sana na Maulid Kitenge anayetumwa kumchafua
Fatma Karume amelalamika Ukurasani X
Nawatakia Dominica Njema 😀