Kuelekea 2025 Fatma Karume awabwatukia CHADEMA kwa kumtelekeza Mbowe kwenye maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
59,566
70,220
Shangazi la Taifa na Mwanaharakati wa mitandaoni anaeunga mkono Wapinzani bibie Fatuma Karume amehoji Nguvu na ushawishi wa Chadema na Viongozi wake kufuatia Wananchi kuwapuuza kwenye maandamano waliyoitisha tarehe 23.

Fatuma amesema inashangaza kuona Kwa Sasa Chadema ni kama Haina bargaining power kiasi kwamba itakuwa vigumu kuishinikiza Serikali ya CCM kuweka Mabadiliko wanayoitaka Kwa sababu hawana watu.👇👇

"Maandamano yanahitaji watu, watu hawajajitokeza, swali; ni uwoga au CHADEMA haivutii?, kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini?, bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kuishinikiza CCM (Chama cha Mapinduzi) walete mabadiliko ya mfumo?"

"Naona wana CHADEMA wengi wanasema CHADEMA inavutia, sawa nakubaliana na ninyi 37-45 za kura ni nyingi na ni mvutio mkubwa, swali linalofuata mbona hamlijibu?, bila ya people’s power bargaining chip ya CHADEMA kuleta mabadiliko ni nini?, je CHADEMA inaweza kuwatoa uwoga Watanzania?"
-Fatma Karume

My Take
Shangazi Fatuma na yule kahaba wa USA wanatakiwa kuelewa kwamba Watanzania sio nyumbu wa kutumika Kwa maslahi ya Wapinzani Vibaraka na Mabeberu.

Pili Fatuma aelewe kwamba hakuna awamu yeyote katika historia ya Tanzania ambayo Wananchi Mjini na Vijijini wamemwagiwa utitiri wa miradi kwenye sekta zote kama awamu ya 6 chini ya Rais Samia hivyo wameshiba hawana sababu ya kushiriki maandamano ya kipuuzi.

Mwisho Nawakumbisha Chadema walianzaga na kile waliita maandamano ya amani wakapuuzwa wakaona watumie njia za purukushani nazo wamepigwa za uso ,ndio kusema Chadema ni chama kilichofilisika hoja kimesalima na vioja na matukio ,kiki ya marehemu Kibao imebuma.😂😂😂
 
Shangazi la Taifa na Mwanaharakati wa mitandaoni anaeunga mkono Wapinzani bibie Fatuma Karume amehoji Nguvu na ushawishi wa Chadema na Viongozi wake kufuatia Wananchi kuwapuuza kwenye maandamano waliyoitisha tarehe 23.

Fatuma amesema inashangaza kuona Kwa Sasa Chadema ni kama Haina bargaining power kiasi kwamba itakuwa vigumu kuishinikiza Serikali ya CCM kuweka Mabadiliko wanayoitaka Kwa sababu hawana watu.👇👇

View: https://x.com/Jambotv_/status/1838871661250007496?t=Ooe5KccFIut20M9DTJWAnw&s=19

View: https://x.com/MzalendoDaily/status/1838593613485207911?t=KOzuBe8-VZIpyUTLZt8rxw&s=19
View attachment 3106266
View attachment 3106289View attachment 3106290

Chadema wanaokosea sana ,chama kinaruhusu makada wao ambao uwezo wao kufikiri ni chini ya wastani kutokona na ukosefu wa Elimu dunia kuwa ndio wapaaza sauti wa chama .Embu fikiria upuuzi wa Mdude na Lema kwenye mitandao na chama wala hawakanushi?
 
Shangazi la Taifa na Mwanaharakati wa mitandaoni anaeunga mkono Wapinzani bibie Fatuma Karume amehoji Nguvu na ushawishi wa Chadema na Viongozi wake kufuatia Wananchi kuwapuuza kwenye maandamano waliyoitisha tarehe 23.

Fatuma amesema inashangaza kuona Kwa Sasa Chadema ni kama Haina bargaining power kiasi kwamba itakuwa vigumu kuishinikiza Serikali ya CCM kuweka Mabadiliko wanayoitaka Kwa sababu hawana watu.👇👇

View: https://x.com/Jambotv_/status/1838871661250007496?t=Ooe5KccFIut20M9DTJWAnw&s=19

My Take
Shangazi Fatuma na yule kahaba wa USA wanatakiwa kuelewa kwamba Watanzania sio nyumbu wa kutumika Kwa maslahi ya Wapinzani Vibaraka na Mabeberu.

Pili Fatuma aelewe kwamba hakuna awamu yeyote katika historia ya Tanzania ambayo Wananchi Mjini na Vijijini wamemwagiwa utitiri wa miradi kwenye sekta zote kama awamu ya 6 chini ya Rais Samia hivyo wameshiba hawana sababu ya kushiriki maandamano ya kipuuzi.

Mwisho Nawakumbisha Chadema walianzaga na kile waliita maandamano ya amani wakapuuzwa wakaona watumie njia za purukushani nazo wamepigwa za uso ,ndio kusema Chadema ni chama kilichofilisika hoja kimesalima na vioja na matukio ,kiki ya marehemu Kibao imebuma.😂😂😂

View: https://x.com/MzalendoDaily/status/1838593613485207911?t=KOzuBe8-VZIpyUTLZt8rxw&s=19
View attachment 3106266
View attachment 3106289View attachment 3106290

ILE SACCOS YA MBOWE IMEPUUZWA HAINA JIPYA LA MAANA
 
Hivi zile picha zake akiwa amekanga nywele hakuna wa kuturushia humu aisee?
Mi ninazo, sema sijui jinsi ya Ku apload, kwa computer, Ile picha yupo Yeye DJ Mbowe space 2000, DJ Jerry Koto, DJ Kalikali na DJ Seydou
 
Kwa ile Turnout ya chadema kwenye maandamano keyboard warrior's kumsaliti mwenyekiti hadi akajikuta anaandamana yeye na binti yake tu Mbowe sijui kama ataitisha tena maandamano ndani ya hii miaka miwili
 
Mkuu Mbowe kuna kabusara kadogo ulilumnganisha nae na kamanda kama lema ila kinachomsumbua haswa ni ukosefu wa Elimu dunia na usishangae ukasikia anaitisha tena maandamano🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Hawezi kuitisha tena maandamano lockup siyo pazuri ye mwenyewe juzi alitamani akimbie asionekane kwenye maandamano sema aliogopa fedheha na aibu kuonekana muoga ikabidi aende tu kishingo upande ila kwa sasa ameshajua amejichanganya.
Hawezi kuitisha maandamano yoyote kwa sasa
 
Utakuwa unafikiri kwa kiwango cha chini sana kufananisha mikutano ya Samia ambayo pia amesomba watu kila sehemu na maaandamo haya ya chadema ambayo jeshi zima la tanzania limeyazuia....ungefananisha na maandano yaliyoruhusiwa au mikutano ya chadema. Msijifariji kama mvutu wa chadema umekwisha wakati mmewatisha watu na silaha za moto. Hapa naona unafanya siasa na kukera watu tu. Mvuto uko palepale
 
WhatsApp Image 2024-09-24 at 11.47.41 AM.jpeg
 
Kwa ile Turnout ya chadema kwenye maandamano keyboard warrior's kumsaliti mwenyekiti hadi akajikuta anaandamana yeye na binti yake tu Mbowe sijui kama ataitisha tena maandamano ndani ya hii miaka miwili
Gharama iliyotumika kuziia maandamano hamuioni ilivyo kubwa?

Kweli aliyesema Mswahili nyama ya Tako hakukosea!!!
 
Back
Top Bottom