Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,023
- 14,189
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.