Farhia Middle wa Radio One amehuzunika sana Abdallah Mwaipaya kuwa DC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,422
120,747
Kuna Kipindi nakumbuka ( nikiwa kama Msikilizaji Balozi na Mwandamizi wa Kipindi chao nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kila Jumapili Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi ) aliwahi 'Kufiwa' na Dada yake tena wa toka nitoke ila wala hakuwa katika Majonzi na alisahau ghafla na wala hakutaka Kutukumbusha Wasikilizaji wake kama alifiwa.

Katika hali isiyo ya Kawaida Mtangazaji wa ITV na Radio One Farhia Middley leo tokea awe katika Kipindi cha Mazungumzo ya Familia anatumia muda mwingi Kumpongeza, Kumpamba na hata Kuonyesha Mahaba yake ya 'Kiagape' kwa DC Mteule wa Mwanga Abdallah Mwaipaya kiasi cha mpaka ameshindwa Kufanya Kipindi na muda mwingi akiwa analia tu Studioni na hata Kutoka nje na Kurejea kwa 'Kupetiwapetiwa' na Wenzake.

Ombi Kwako Mheshimiwa Rais Samia kama 'ikikupendeza' nakuomba Mteue Mtangazaji Farhia Middley awe kati ya DED au DAS wa Mwanga ili aendelee kuwa karibu na Mtangazaji ( DC Mteule wa Mwanga ) Abdallah Mwaipaya kwani ameshaonyesha kuwa kuanzia sasa Kiutendaji hatokuwa na 'Ufanisi' tena kwakuwa 'Kipenzi' chake ( wake ) hatokuwepo tena katika Studio za ITV na Radio One pale 'Mjengoni' Mikocheni.
 
Tunae ( yupo sana ) tena huwa ananisoma zaidi hapa kwani kuna Siku 'niliwasiliba' hapa hapa na Jumapili iliyokuja walinijadili 'Kipindini' na Kukiri kwa Abdallah Mwaipaya kuwa huwa ananifuatilia GENTAMYCINE hapa JamiiForums.
Aje inbox
 
Active huyu mtu ana thread zinazodharirisha utu wa watu,Kuna moja mumeifuta amerudia Tena ,kulikoni?
Bahati nzuri najitambua na sijawahi Kuanzisha Uzi wa Kumdhalilisha Mtu au Taasisi.

Huu muda na haya Mateso unayoyapata kwa Kunichukia GENTAMYCINE ungeyabadilisha kwa Kumuuliza Mwenyezi Mungu kwanini amekufanya 'Juha' hivi ulivyo na Roho yako inakuuma Kuona wengine tunakubalika Kiuwasilishaji hapa JamiiForums.

Namalizia kwa Kukuambia kuwa Mimi ni GENTAMYCINE ( alias ) " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " sawa?
 
Bahati nzuri najitambua na sijawahi Kuanzisha Uzi wa Kumdhalilisha Mtu au Taasisi.

Huu muda na haya Mateso unayoyapata kwa Kunichukia GENTAMYCINE ungeyabadilisha kwa Kumuuliza Mwenyezi Mungu kwanini amekufanya 'Juha' hivi ulivyo na Roho yako inakuuma Kuona wengine tunakubalika Kiuwasilishaji hapa JamiiForums.

Namalizia kwa Kukuambia kuwa Mimi ni GENTAMYCINE ( alias ) " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " sawa?
Eti unakubarika,Bure kabisa bwana wewe!

Sio kwamba nakuchukia hapana so kweli Bali nashangaa humo kwa bichwa lako Kuna nini!!!
 
Farhia Middley leo tokea awe katika Kipindi cha Mazungumzo ya Familia anatumia muda mwingi Kumpongeza, Kumpamba na hata Kuonyesha Mahaba yake ya 'Kiagape' kwa DC Mteule wa Mwanga Abdallah Mwaipaya kiasi cha mpaka ameshindwa Kufanya Kipindi na muda mwingi akiwa analia tu Studioni na hata Kutoka nje na Kurejea kwa 'Kupetiwapetiwa' na Wenzake
Tunahitaji ushahidi hata wa picha vinginevyo tunaona kama unamsingizia
 
Back
Top Bottom