mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,292
- 795
Morning, Ukitaka kufanya Chaguzi za program siku zote Chagua "sample " yani tengeneza orodha ya kozi nyingi zenye sifa tofauti unazotaka wewe. mfano naangalia hivi.
1. Carrier yangu.
Kozi iwe ni ile ina uhusiano hata kama sio wa moja kwa moja na combination yangu. Mfano kwa EGM anything related economics and statistics, Accounting, finance, Risk, Geology and mining, statistic etc.
2. Iwe na mkopo.
Hakuna kitu kizuri kama kusomea program yenye mkopo yani "Priority " priority means hata kama huna vigezo vya mkopo yani umesoma both private schools, una both parents with well financial myscles etc, basi bodi itaignore kila kitu na kukupa mkopo hata kama ada sio 100% ila utapata boom 100. Hakun kitu kama boom aisee bila boom utafeel inferiority complexity.
3. Background.
Angalia kama una mtu nyumbani anaweza kukushika mkono yani "referee" mzee, mjomba au ndugu mwngn. Kwhy hapo unapaswa kuwapigia simu na kuwaomba ushauri kitu gani usomee. Kama ndugu yako ni auditor na ana "Meno" kazini akikushauri somea Accounting ujue hapo ndio penywe, ila akikupa general advise tambua hana meno au connection huyo.
4. Future.
Degree program ambayo bado ina demand mtaani.
To make things clear demand ya kuajiriwa na kujiajiri. Pili hata kama ni kuajiriwa basi both in and outside the country. Tatu kama ni kajiriwa both private and Public sectors, nne, kuajiriwa public basi iwe in so many ministries and gvt ng'os.
Hii unapswa kuwauliza watu walio kitaani ndio wanaelew mchezo mzima sio wanafunzi wa chuo, hata wao wanakuwa bado wapo kwenye ukungu, kesho yao hawaijui. Afew to mention. Economics and statistics, building, Architecture, Actuarial, Taxation.
5. Home financial muscle.
Nguvu ya pesa ya mzee kama mzee anaweza kukusomesha chuo, basi well and good but if not please stick to point no. *2*
6. Competition
Hapa angalia ufaulu wako kisha assess competition iliyopo kwa hiyo orodhesha program ambazo unauhakika 80-100% utachaguliwa.
7. Chagua Vyuo vitano vyenye sifa.
Kama ilivyo kwa. A level kila shule inasifikia kwa combination mfano kwa serikalini PCB mzumbe PCM Kibaha na iliboru EGM Pugu na Minaki. Hata vyuo ni hivyo hivyo.
Udsm-sheria, Engineering, economics, education, accounts
TAA- procurement, Accounts
Mzumbe- Sheria, Economics
Ardhi -Architecture, building economics (Quantity Surveying) land management
Etc.
Unaweza kuongeza vigezo vingine vingi na kulist as many programs kwa kila kigezo.
Ukimaliza angalia ni program zipi zifall kwa kila kigezo na uzichukue hizo kwa final judgment hapi sasa itategemea na mapenzi yako na uwezo wako binafsi. Mfano kama unapenda Hesabu na upo competent basi hizo kozi ndio uzipe kipaumbele zaidi.
Ni hayo tu kwa leo kwa maswali na ushauri
NiPM