Fanya biashara hizi kama una mtaji kiduchu

The redemeer

JF-Expert Member
Jan 28, 2025
1,157
1,997
Una mtaji wa laki 2 mpaka million 2?
Hizi ni biashara ambazo unaweza ukafanya na zikakupa uhakika wa faida ya TSH 30,000_ laki kwa siku(1_3M kwa mwezi)

Wakati mwingine biashara nzuri sio Ile inayoonekana ya kifahari sana na decorations nzuri
Biashara ni mizunguko,faidađź’µ.

Hizi biashara Zina foleni ya wateja na sio lazima uwekeze kwenye decorations Kali
-Tuna Anza na Biashara za kifedha
(Mawakala wa mitandao ya simu na benk)
-Biashara ya vifaa vya simu(phone accessories)cover, protector, earphones,,USB,nk....
-saloon ya kiume(local) utaanza na machine ya kunyolea na viti viwili,Kila mteja atalipia TSH 1000_5000
-Biashara ya genge
-Biashara ya Juice
-Biashara ya matunda
-Biashara ya vifungashio
-Biashara ya urembo wa kike kama hereni ,cheni, bracelet,Pete,shanga nk...
-Nguo za ndani za kike
-Biashara ya vinywaji
-Biashara ya chakula
-Saloon ya wanawake
-Biashara ya nguo na viatu vya mitumba
-Biashara ya Nafaka,UNGA,Michele,maharage,mafuta ya kula,,frem iwe sehemu ya makazi ya watu
-Biashara ya kuchoma kuku na ndizi mjini
-Biashara ya Dagaa
-Biashara ya samaki
-Biashara ya Chips
-Saloon dreadlocks
-Biashara ya sandels
-Spare za pikipiki
-Duka la mangi,,umakini muhimu
-Duka la dawa muhimu,pata location nzuri

Biashara Gani kati hizi unadhani ni nzuri zaidi kwako hasa kwa kuangalia na location ulipo, mtaji na uwezo wako wa kutafuta wateja na kusimamia biashara?

Usikae kizembe
 
Unanichekesha sana.Mke wangu alikuja na mawazo kama yako baada kukaa nyumbani sana.
Nikampa pesa ilikufanya biashara kwenye fremu tena ulizotaja kilichobaki sasa hivi anakwambia kuna watu wachawi,wateja shida.

Mkiwa mnaeleza mueleze inapatikanaje sio unataja tu hiyo pesa unaingiza tu kama chawa ccm ndio tu.
 
Una mtaji wa laki 2 mpaka million 2?
Hizi ni biashara ambazo unaweza ukafanya na zikakupa uhakika wa faida ya TSH 30,000_ laki kwa siku(1_3M kwa mwezi)

Wakati mwingine biashara nzuri sio Ile inayoonekana ya kifahari sana na decorations nzuri
Biashara ni mizunguko,faidađź’µ.

Hizi biashara Zina foleni ya wateja na sio lazima uwekeze kwenye decorations Kali
-Tuna Anza na Biashara za kifedha
(Mawakala wa mitandao ya simu na benk)
-Biashara ya vifaa vya simu(phone accessories)cover, protector, earphones,,USB,nk....
-saloon ya kiume(local) utaanza na machine ya kunyolea na viti viwili,Kila mteja atalipia TSH 1000_5000
-Biashara ya genge
-Biashara ya Juice
-Biashara ya matunda
-Biashara ya vifungashio
-Biashara ya urembo wa kike kama hereni ,cheni, bracelet,Pete,shanga nk...
-Nguo za ndani za kike
-Biashara ya vinywaji
-Biashara ya chakula
-Saloon ya wanawake
-Biashara ya nguo na viatu vya mitumba
-Biashara ya Nafaka,UNGA,Michele,maharage,mafuta ya kula,,frem iwe sehemu ya makazi ya watu
-Biashara ya kuchoma kuku na ndizi mjini
-Biashara ya Dagaa
-Biashara ya samaki
-Biashara ya Chips
-Saloon dreadlocks
-Biashara ya sandels
-Spare za pikipiki
-Duka la mangi,,umakini muhimu
-Duka la dawa muhimu,pata location nzuri

Biashara Gani kati hizi unadhani ni nzuri zaidi kwako hasa kwa kuangalia na location ulipo, mtaji na uwezo wako wa kutafuta wateja na kusimamia biashara?

Usikae kizembe
Kelvin kibenje hajambo?
 
Back
Top Bottom