Hivi ni viti vya marembo zaidi kuliko vya matumizi ya kila siku majumbani.. Ni sawa na vile vijibwa vya kubebwa kwenye vikapu na mikoba.. Japo kwenye mada hii vinaweza kuwepo vya kutumika kila siku lakini vinaweza visiwe vingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.