Familia za Viongozi wa Urusi

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
17,129
23,037
- Stalin's daughter - lived and died in the United States for decades.

- Khrushchev's son is a US citizen.

- Where are Putin's daughters? They are not seen in Russia.

— Deputy Pekhtin. With my son in USA.

- Minister of Transport of the Moscow region - Katsyva. With my son in USA.

- Children of deputy Zheleznyak - live in Switzerland.

— Children of Astakhov. One in France, the other in England.

- Children and grandchildren of the "Chief Patriot of Russia" head of the Russian Railways Vladimir Yakunin live outside the country - in England and Switzerland.

- The daughter of the Minister of Foreign Affairs Sergei Lavrov, Catherine, lives and studies in the United States.

- The son is the deputy speaker of the State Duma A. Zhukova lived and studied in London for a long time.

— The daughter of the Deputy Speaker of the State. Sergei Andenko studies and lives in Germany.

- The eldest son of Deputy Prime Minister Dmitry Kozak - Alexey lives abroad and is engaged in construction business.

- Alexei Kozak's younger brother, Alexander, works in Credit Suisse

- Deputy Remezkov's eldest son, Stepan, recently graduated from Valley Forge Military College in Pennsylvania (year of education costs 1 million 295 761 rubles. ). His youngest daughter lives in Vienna, where she practices gymnastics. Masha Remezkova represented the Austrian national team (!!! ) at children's competitions in Ljubljana.

- The daughter of Deputy V. Fetisova - Anastasia, grew up and studied in the United States. Nastya never learned to write and read in Russian.

- The daughter of Svetlana Nesterova, a state deputy. thoughts from the faction "United Russia" - lives in England.

— The main fighter for "traditional Orthodox values" is E. Mizula's son Nikolai studied in Oxford, received a diploma and moved to live on a permanent basis in tolerant Belgium, where same-sex marriage is allowed.

- Deputy Vorontsov's daughter Anna lives in Italy. That's where she moved from Germany.

- One-Russian Elena Rakhova, famous for calling Leningrad residents who have lived less than 120 days in the blockade "non-blockers", her daughter lives in the United States.

- The daughter of the ex-speaker of the DG, one of the founders of the "United Russia" party, and now a member of the Soviet Union Boris Grizlov Evgenia, lives in Tallinn. And even recently received Estonian citizenship.

- The son of former Education Minister Andrei Fursenko lives in the United States on a permanent basis.

- Son of V. Nikonova (grandson of Molotov), the president of the Politika Foundation, is a US citizen.
 
Hata waarabu hupenda sana pale USA ila wakiingiwa na mzuka wa dini unaskia Death to America
Hata UK. Ila Waingereza hawana mchezo mchezo, ukizileta sijuwi Sheria za kiislamu lazima ile kwako! Hakuna cha sikukuu za idd wala ashura! Kwenye makantini, ma kitimoto kama vile!
Wanadai nchi yao ya kikristu, uislamu nenda Saudia, Sudan, Yemen, Iran nk nk! Tatizo hawaendi! Hapo inashangaza kweli kweli!
 
KGB haipo tena, ila organization yoyote ya ujasusi huwa haitumii watu wanaojulikana sana kama watoto hao kwani wanapokuwa ugenini huwa wanamulikwa sana.

hao wako kule kuponda r5aha tu wakati raia wa kawaida wa urusi anamenyeka.
Nilitaka kishangaa KGB wapo watoto wa viongozi tu?. Waponda raha tu hao
 
Madikteta ni watu hatari sana. Huku wanawaaminisha USA ji mbaya lakini familia zao wamezificha huko.

Chawa ndio wanatuumiza
 
KGB haipo tena, ila organization yoyote ya ujasusi huwa haitumii watu wanaojulikana sana kama watoto hao kwani wanapokuwa ugenini huwa wanamulikwa sana.

hao wako kule kuponda r5aha tu wakati raia wa kawaida wa urusi anamenyeka.
Najua sana kuwa walibadili jina.
Wakianza na Federal Counter Intelligence Service au FSK na wakaja jina la sasa Federal Security Service au FSB.
Kubadili jina hakubadili utofauti na KGB.
Niliandika KGB ili iwe rahisi Mtu kujua.

Juu ya Watoto wa Putin si kweli, wapo sana Russia wamejificha. Pia hata Sisi tu walala hoi wa Tanzania, wangapi tumejificha nje ya Tanzania? Hiyo mtengeneza list ana wivu wa Kike.
 

Nchini Urusi kuna Utawala unaofuata Siasa za kidhalimu za Itikadi ya Ujamaa/Ukomunisti. Nchi ya Urusi haikaliki kutokana na Udhalimu wa kiutawala uliopo kwenye nchi hiyo, Watawala tu ndio wanaishi maisha mazuri kwa kuwafanyia unafiki Wananchi wao.
Wananchi wanalazimishwa kuishi katika Mifumo ya Itikadi za Ujamaa/Ukomunisti wakati wao wenyewe Watawala wamekuwa wanafiki na kuishi maisha yao binafsi katika misingi ya Itikadi za Ubepari na Uliberali. Wananchi wa kawaida wamejikuta wanaishi Kama wapo Jehanamu na Watawala wa nchi wanaishi maisha ya anasa kama vile wapo Peponi, ndio maana unaona kwamba hata wale Wananchi wenye uwezo mkubwa wa kiuchumi wanaamua kuihama nchi hiyo na kwenda kuishi katika nchi za Magharibi ambako kuna Uhuru na Demokrasia ya kutosha kutokana na kuwepo kwa mifumo ya Utawala yenye kufuata Siasa za Itikadi za Ubepari na Uliberali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…