Mish Albert
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 657
- 581
Mish,
Nitarudi kesho hapa kunako majaaliwa ya mwenyezi Mungu....
Nitaeleza ninayojua kuhusu hili jambo.....
Tuwe na usiku mwema.....
Kwani yupo kweli? Au ni utapeli uliotukukaBINADAMU TUNAMCHEZEA MUNGU KWELI
Mungu yupo!,unaweza kupinga ninachosema?Kwani yupo kweli? Au ni utapeli uliotukuka
Chief,tungejadili na hapa ingekuwa vyema zaidifalcon mombasa said:Hiyo hata kwenye group ya wasap ya jamiiintelligence tuliwahi kuijadili
Chief,hapo kwenye paragraph ya mwishoAndrew Nyerere said:Baadaye hizi picha zote zinaunganika,zinakuja pamoja zinamuonyesha huyo tapeli anayetaka kuitwa mfalme wa dunia.
Naweza kupinga ndioMungu yupo!,unaweza kupinga ninachosema?
Kwani yupo kweli? Au ni utapeli uliotukuka
Acha kuwa mtumwa wa fikra na utamaduni kijanaikiwa huamini uwepo wa Mungu kwa kuwa hujamwona basi huna akili kwa sababu hujawahi kuuona ubongo wala wakili yako mwenyewe
Kwasababu uwezo unaoongelewa juu yake ni tofauti na uhalisia uliopo. Kwa mfano mnasema yeye ndo muweza wa yote. Sasa jiulize kama yeye ni muweza wa yote. Je, uwepo wa shetani ni mpango wake?Haya pinga!
Kwanini unasema hayupo?