Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
31,113
59,022
Screenshot_20221212-173157_Instagram.jpg

Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu?

Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli, pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote anafanya vibaya sanaa.
 
View attachment 2444126
Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu?? Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli..pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote anafanya vibaya sanaa.
Ushamba wa Sugu wa enzi hizo, Demu akifuata pesa, sasa sijui alipokeaje mbegu ya mimba ya mwanaume mbaya wa sura. Sugu komalia hapo hapo kashindwa kuroga ndiomana anabwata bwaka
 
Back
Top Bottom