===========Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, mtangazaji muongozaji wa Bongo Star Search Caesar Daniel amekuja na Msemo wa #HapaKaziTu.
Hali imebadilika ghafla ukumbi ukalipuka mabadiliko, huku wahdhuriaji wakionesha vidole viwili kuashiria alama ya chama cha siasa na wengine wakizungusha mikono kuonesha Mabadilikoooooo..
Kazi kweli kweli!
tena wa kimataifa
cheki huu wimbo wa kwake wow