Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,380
- 10,644
Kwa pira la mtani jana, basi kuna uwezekano wakatinga fainali na ikawa Yanga vs Mamelod. Je, unatupa karata kwa nani?
Asee watani jana mlijua kutukomesha. Soka safi lenye matokeo chanya. Lile liPacome, sijui Aziz K asee so nice. Kipa safi kabisa na defence ya maana. Pale kati mliupiga mwingi mpk ukamwagika.
Hongereni na kila la kheri huko Robo.
"Simba ni Simba na kamwe hasinyai kuwa chura"