Pata suluhisho la changamoto unazopata katika biashara ya tofari( block cement) kwa kupitia uzi huu utapata majibu ya maswali yafuatayo: MASOKO,NJIA BORA YA UZALISHAJI ,VIPIMO SAHIHI,MITAJI, VITENDEA KAZI,TEKNOLOJIA NA MALIGHAFI SAHIHI,. Kupitia hapa tutaanza usajiri wa wafanyabiashara wa matofali na hata mafundi uashi kwa madhumuni ya kuwatambua na baadae kuwaalika katika semina ambayo itajadili mada hizo hapo juu.
Najua wafanyabiashara wengi wanachangamoto ya moja ya mambo yalianishwa hapo juu, hasa mtaji na masoko ya uhakika,kwa kutambua hilo katika maandalizi yetu ya semina tutakazo andaa wadau mbalimbali watasapoti na kuwatambua wafanyabiashara ili kuwasapoti katika kutatua changamoto hizo.
Tutakua na moja ya kampuni ya ya wazalishaji wa saruji,mabenki ,taasisi za viwango, wataalamu wa udongo ,wateja wakubwa wa matofali na bidhaa nyingine zinazohusiana .
Kifupi kama wewe ni mdau wa sekta hii karibu na tupia namba tutakuadd whats up group utapata taarifa mbalimbali muhimu kuboresha biashara yako,