Faida za madeni mwilini

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,916
e66cbbc289b9b2922027ac22baab2490.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuishi kwa wasi wasi wala si faida bila ni hatari kwa Afya,maana unaweza kukonda & kupata ugonjwa wa moyo kutokana na wasiwasi wa kudaiwa na kudharirishwa na mdeni wako!
Kopa kwa malengo otherwise muwaulize wahanga wa vikoba Dakika 5 tu mtu anajikuta analala matanga huku akiwa hajafiwa na yeyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom