Muchaa
Member
- Oct 11, 2018
- 12
- 5
Kwa sasa kutokana na maendeleo ya technology basi biashara nyingi zinafanyika kiurahisi zaidi tofauti na mwanzo.
Wafanya biashara wengi wanatumia mifumo mbalimbali kuendesha biashara zao kwamfano mfumo wa mauzo (POS) hii imewarahisishia sana wafanya biashara kwani wanauwezo wa kumanage biashara zao hatakama hawapo eneo la bishara.
Basi hata kwa upande wa mashine za EFD imekuja kuwa rahisi kwasababu ya kuanzishwa kwa kitu kinaitwa VEFD ikiwa na maana ya Virtual Electronic Fiscal Device hii ni rahisi zaid EFD katika matumizi adi gharama za manunuzi.
VFD ni mfumo ambao unawekwa kwenye simu , computer au tablet na utaweza kutoa risiti zako za EFD popote pale ulipo na ukamtumia mteja wako kwa njia tofauti tofauti kama WhatsApp na kadhalika.