Fahamu namna wataalamu wa mahusiano wana rate(grade) wanawake kwenye soko la mahusiano.

Zemanda

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
8,176
17,772
Soko la mahusiano au soko la mapenzi (sexual market) ni soko la kufikirika (virtual market) ambalo wanawake na wanaume huingia na kutoka wakitafuta kubadilishana mahitaji mbali mbali ya kihisia kwa kutumia miili na mali yao/zao. Hili huwa sio eneo la kudumu kwa kila anaeingia kwasababu lengo huwa ni kujipatia mahitaji kulingana na muhusika anachotafuta then kuondoka haraka kurudi kwenye maisha ya kawaida kama vile mtu anapokwenda sokoni kununua vitu huwa haishi huko anaingia na kutoka kuendelea na maisha yake.

Leo nitagusia eneo linalotumika sana katika kutathimini thamani ya wahusika na nitawalenga wanawake, MUNGU akijalia kwenye nyuzi zinazofuata nitazungumzia grading za wanaume zinapangwaje pia.

Ni muhimu ukaelewa na kujifunza hiki ninachokiandika hapa kwasababu ni kitu ambacho aidha umekisikia sana au utakisikia sana katika mijadala ya wataalamu wa kimahusiano especially huko magharibi,sasa nimejitolea kukiongelea leo ili kukupa ufahamu wa bure kabisa na wewe upate kujiongeza na kuelewa nini humaanishwa.

Katika sexual market,kuna namna ya kugrade wanawake katika kipimo kinachoitwa “scale of ten” yaani ni kama kuwekewa rula ambayo ina namba moja hadi kumi na kila namba hapo imebeba uzito na maana ya tofauti kama ifuatavyo:

Namba 1. Hapa ni level ya mwanamke wa kawaida sana kimuonekano ambae hana mvuto kabisa. Nachelea kutumia mifano halisi ya watu tunaowafahamu mitandaoni sababu sipendi kuwa mkosoaji wa kazi za muumba. Ila kukupa picha ni kama umeshawahi kutana na mwanamke ambaye hakuna atakachovaa au hakuna make up atafanya ambayo itabadili muonekano wake wa asili wa kukosa mvuto kabisa. Kuanzia shape,sura rangi ya ngozi vyote ni hovyo kabisa. Imagine mwanamke ambaye hata mfungwa wa kiume ambaye hajapiga mashine miaka 10 ukimletea anaweza piga kimoja na asiweze rudia siku inayofuatia.

Namba 2. Hapa ni level ya muonekano wa mwanamke ambaye ana afadhali kumzidi yule namba moja ila still bado yupo eneo la kukosa mvuto na hana vigezo vya kumfanya hata mwanaume asiye na mwanamke kutamani kumtongoza. Hapa unakutana na wale wenye shepu za gitaa, matumbo makubwa,miguu ya matege ya tukunyema, makalio kama ndimu, mgongo wa kibiongo au mgongo wa kibaunsa,kichwa komwe kama topcover ya carina TI, mikono imejaa manyama,pua ya baba levo, sura ya baba etc.

Namba 3. Hapa ni level ya muonekano ambao sio wa mvuto bado ila kuna afadhali ukimlinganisha na hao wa namba moja na namba 2. Huyu anaweza kuwa na sura ya mama yake ila shape ni ya kawaida sana haina mvuto,tako flat, miguu sio ya kuvalia suruali ni madela na magauni, rangi anaweza kuwa nayo nzuri (mweusi,maji ya kunde au mweupe), anaweza kuwa na kitambi au tumbo lile la manyama uzembe hata kama hana tumbo ila akithubutu kuvaa crop top unaweza muuliza kwanini ameamua kujichoresha, lakini ukifanya combination bado unaona vigezo vingi vya uzuri wa kike hana na yeye anakuwa najua hilo na hata hawezi kubisha maana ushahidi anauona. Kwa kifupi anafaa kupiga but hasitui kivile maana hawezi mfanya mwanaume amuwaze kwa lolote.

Namba 4. Hapa ni level ya muonekano ambapo tunawapata wale wanamvuto ila wa wastani san ana wanafaa hata kuwa wife material ila sio pisi ya kwenda. Hapa utawakuta wanawake ambao anaweza kuwa na kitu fulani cha kuvutia ila ni kimoja au viwili basi ila hazidi zaidi yah apo nay eye anakuwa anajua kabisa uzuri wangu upo kwenye kitu fulani bila hiki mimi sina cha kuringia. Anaweza kuwa na muonekano mzuri wa sura akivaa baibui ukimtazama sura na mikono plus rangi yake nzuri (nyeusi,mweupe,au maji ya kunde) unasema yes,mali hii hapa. Ila akikuvulia baibui, utagundua hana hips, hana nyonga,miguu haina mvuto etc. au kuna mwanamke, anaweza kuwa na miguu mizuri sana ya kuvalia kimini,pensi,hata jeans vinamkaa poa sana ila sura hamna kitu,kichwa kama kokwa ya embe,nywele kipilipili,masikio kama bundi, tabasamu baya balaa la kufukuza mwanaume,kwa kifupi mwanamke katika scale ya one to ten akiangukia namba 4 anakuwa na muonekano wa kutambia kitu kimoja au viwili na akitokea mwanamke mwenzake anacho hicho kitu na vya ziada huwa anakuwa mnyonge sana.

Namba 5. Hapa ni level ya muonekano ambapo mwanamke anashawishi kuitwa pisi kali. Mwanamke wa hapa anakuwa na vigezo kadhaa zaidi ya vitatu vya uzuri na anakuwa kweli ana mvuto mfano anaweza kuwa na miguu mizuri, rangi nzuri but mfupi, au mrefu,sura nzuri ila hana tako zuri but akitokea watu wanaona mali hii hapa ila dakika tano za kukaa nae wanaweza mtoa dosari kadhaa but still zile sifa zake zikaendelea kwapo mfano urefu wake kila akisimama wanaume unawavutia, matiti yake yamekaa vema kifuani, au miguu yake imekaa vema ila dosari zingine bado zinafanya asiwe pisi kali ile ya kutetemesha. Hawa ndio mara nyingi utaona wanavaa vigodoro,mawigi,wanafosi mapozi kwenye picha na video,wanatumia filter ili kujazia au kurekebisha baadhi ya vitu ambavyo kama basi wangelikuwa navyo basi vingewafanya kuwa pisikali kamili au niseme vingewatoa katika muingiliano wa sifa na waliopo namba 4 ambao ni wa chini yao na at least kuwapa hadhi ya kuwa namba 6.

Namba 6. Katika level hii ndipo vita ya uzuri inaanza kuchangamka. Hapa utawakuta wanawake ambao bila doubt ni wazuri kwa muonekano. Dosari zipo ila zinarekebishika kwa cosmetics na mapambo. Hapa mwanamke akikutana na waume 100 basi ana uhakika wa kupata attention ya wanaume 40 hadi 60 kwa uhakika. Hapa mwanamke anakuwa ni mzuri yule ambae ukikutana nae kwa wastani wazo la kwanza linakujia ni kumuona akiwa mtupu kitandani. Kundi hili vigezo vyao vipo wazi san ana wanaume wengi huwa tunakubaliana kuwa huyu sio wa kwako pekee yako. Hapa utawakuta akina sanchoka,akina hamisa mobeto, akina linah, kwa haraka haraka. Yaani utakutana na wanawake ambao wanasifa za kutakwa kingono na wanaume wakiwaona tu kitu cha kwanza ni kuwaza kulala nao bila kujalisha wanataka waoa au kuwaweka kama nyumba ndogo. Pisikali wanaanzia hapa.

Namba 7. Hapa sasa unaanza wakuta wanawake ambao inakuwa ni ngumu kuwatoa dosari kwa maana hata akiwa na dosari unashindwa kuibainisha maana inafunikwa na sifa zingine za uzuri alizonazo ambazo kila mwanaume akija anasema yak wake ila mwanamke ni huyo huyo. Hapa utawakuta akina J.lo, beyonce, Shakira, Halle berry, Ashanti, Nancy sumari, Faraja kota, Jackline Ntuyabaliwe, etc. wanawake hawa wanaweza kuwa wamezidiana uwezo wa kifedha na hata kutofautiana mionekano kulingana na asili zao but scale inawaweka group moja sababu kwenye kuwa tathimini utaona wanaangika katika uzito wa kufanana. Ni saw ana kusema vogue,prado,harrier,fortuner ni gari za bei tofauti il azote ni SUV.

Namba 8. Hii ni level ambayo wanawake wake hata make industry haijawalenga sana katika kuwatengenezea beauty products sababu ni kama hili kundi ni sehemu ya definition ya uzuri. Hawa wa hivi hawahitaji Instagram kuwaambia ni wazuri na hawana haja ya kwenda istagram kutafuta likes ili kuvalidate uzuri wao. Hawa ndio wale wanawake ambao mwanaume ukitaka kufukuzia hata kaka yake anakuonea wivu kuwa unakwenda kumla mdogo wake n ani pisi ya kwenda. Uzuri wake ukitembea nae kwa miguu attention anayopewa utahisi wewe ni invincible kuwa nae karibu. Wanawake wenzake hawataki aolewe ili wapate kukaa nae karibu ili mvuto wake uwasaidie na wao kupata wanaume. Huyu akinyoa ni vita,akisuka ni vita, akivaa wigi ni vita hakuna kitu kinakataa mwili wake. Akivaa gunia kesho unaweza likuta kwenye duka la nguo kama fasheni mpya ya mvuto kumbe si hilo gunia ni huyu mwanamke mvuto wake umeliambukiza gunia. Nadhani mnaweza vuta picha ya watu wa hivi kama ulishakutana nao wengi sio maarufu ila umaarufu unawawinda kupita maelezo. Akipiga picha na mtu watu wanauliza “huyo ni nani aliyevaa flana nyekundu”.

Namba 9. Hii ni level ya mvuto au uzuri wa mwanamke ambao ni almost impossible kukutana nao kwasababu jamii zao huwaficha san ana huwa hawachangamani na wanajamii sababu uzuri wao ni hatari hata kwa wao wenyewe. Mtu anaweza mteka mwanamke wa uzuri wa level hii kutokana na mfadhaiko wa kumuona na kuhisi hataweza kutana na mwanamke wa hivi tena. Wanawake wa level ya 9 uzuri wake ni mtaji wa maisha na hahitaji kufanya kazi kwasababu wanaume hawataweza kuvumilia kujua yupo sehemu tofauti nay eye akiwa anafanya kazi au kachangamana na wanajamii wengine. Kuwa na mwanamke wa level hii na hauna hela ni kutafuta kichaa cha kujitakia kama mwanaume. Kundi hili hawawezi kuwa single hata siku moja. Kitu pekee wanahitaji kutoka maduka ya urembo nip engine perfume ambayo nayo ni nadra sana kuitaka maana miili yao hutoa jasho zuri kutokana na mwili wake kuwa katika hali nzuri na hormones za kike kufanya kazi zake kisawa sawa huwa na mvuto wa kila namna. Huyu mwanamke akikushika mkono unaweza hisi kunawa ni kosa. Akikubusu shavuni unaweza zimia, akikutazama unahisi umeshafanikiwa kwenye maisha, akitabasamu huku anakutazama wewe unaweza kwenda kumhadithia mkeo,akisema muache mkeo uwe na mimi hautafikiria mara mbili, akisema ili uwe na mimi nioe utakwenda kukopa benki,kuuza mashamba au nyumba ya urithi upate mamilioni ukatoe posa kwao wazazi wake wakuruhusu uwe nae. Huyu ni mwanamke ambaye uzuri wake hauelezeki kirahisi na kumuona ni nadra sana au kubahatisha kumuona.

Namba 10 huyu kama yupo then ni wale tunasema ni malaika wanaoshikika. Huyu hana dosari kabisa na ndio maana nikasema huyu ni malaika na sio mwanadamu wa kawaida. Wale mabikra saba wanaosema maostaadhi kuwa utakutana nao siku ya kiama uzuri wao upo level hii na si chini ya hapa. Kwa kifupi mwanamke mwenye uzuri wa 10/10 ni imaginary sababu ni mwanamke ambaye hakuna jicho la mwanaume litamuona ana dosari. Huyu anaweza mfanya shoga akarejea kuwa mwanaume rijari na kubadilika. Kama wa hivi umeshawahi kutana nae au kusikia Habari zake then wewe ni miongoni mwa wanaume wenye bahati sana kuonana na mwanamke wa kiwango hiki katika haya maisha.

Hizi ndizo rating levels za wanawake katika soko la mahusiano katika kipimo cha 1 to 10 eneo la mvuto. Vigezo vya mvuto hutofautiana kati ya makundi toafuti tofauti ya wanaume ambao wanatofautiana kwa umri,kipato na mahitaji yao kumhus
u mwanamke.
 
Nimekuainishia namba za kipimo cha “scale of 1 to 10” ambacho humpa mwanamke daraja la uhalisia tofauti na namna yeye anajichukulia. Wanawake wengi hudhania wapo daraja namba 8 kumbe hata 5 hawajavuka. Utalijua hili kwa kutazama dating history yako na encounters zako na wanaume. Unakutana na mwanaume Instagram anavutiwa na picha zako na likes ni nyingi siku mkikutana unashangaa baada ya kukaa nae siku kadhaa anakuchukulia po ana yupo tayari kukutema na kutafuta mwanamke mwingine sababu unamletea swaga au mapozi as if wewe ni 7 au 8 kumbe ni 4.
 
Akili huna ch

u mwanamke

Akili huna chizi wewe unaleta habari za kipuuzi huu muda unatoa wapi
 
Hadithi za Sukununu
 
Zote ni mbwembwe Tu za wataalamu.

Just kutaka waonekane wanajua zaidi kumbe Formula ni ile ile "Hayana Formula" "Hakuna Formula"

Uzuri unaonekana kwa macho, Simple
Ni vema ukafanya tafakari ya kina kabla haujahitimisha jambo. Hapa umehitimisha kuwa hiki nilichokiandika kuwa hakipo ila una uhakika kuwa kweli hakipo?🤔
 
Huu ni upumbavu
Fikra huwa zinakanushwa au kuungwa mkono kwa fikra zingine. Umetoa tusi bila kuonyesha uwezo wako wa kifikra hii ni changamoto ya kitaaluma. Mawili,hauna hata elimu ya chuo ambayo kwasasa ni rahisi sana kupata au unayo ila uwezo wako wa kuitumia ni mdogo sana. Anyways,pole
 
Back
Top Bottom