Fahamu mambo ma 3 Kabla ya kuprint mifuko ya kuweka unga

Braza POPO

Member
Sep 7, 2017
39
12
Katika kuhakikisha kazi yako inakuwa safi na nadhifu kabisa. #watusmartpackaging tunajuza leo mambo muhimu kabla ya kuchapisha mifuko toka kwetu au sehemu nyingine.

1. Artwork /picha Kabla ya kuchapisha mifuko ya kuwekea unga ile ya viroba au ya salfeti ni muhimu kuwa na mchoro au picha ambayo unataka kuiweka kwenye mfuko wako. Mara nyingi tunashauri iwe (softcopy)ambayo tutaweza kuitumia kufanyia marekebisho au ushauri kulingana na mashine zetu.

2. Kuichonga rubber, kazi hufanywa na wataalam ambayo kwa uhalisia kwetu #watusmartpackaging tunachukua siku 2 mpaka 3 kuikamilisha kazi ya kuchonga rubber au muhuri ambayo ndio hutumika kuchapishia viroba au salfeti. Mwisho wa posti hii ziko picha zinazoonesha hii rubber baada ya kuchongwa toka kwenye picha hadi kuwa rubber iliyo na mchoro.

3. Kuchapisha au kuprint mifuko Hatua hii ndio hatua ya mwisho na ndio kusudio letu. Na kwa hapa tunachukua siku 1 mpaka mbili kukamilisha kazi ya kuchapisha kwa maana ya kutegemea oda za siku husika na malighafi tulizonazo stoo. Hivyo kwa jibu rahisi katika swali "Lini mnamaliza kazi yangu ya kuchapisha mifuko?" Jibu : Ndani ya siku 4 mpaka 5 kwa mteja ambaye hana rubber (ndio anaanza)ila kwa yule mzoefu basi ndani ya siku moja mpaka mbili.

HABARI KUHUSU VIFUNGASHIO INGIA HAPA
< WATUSMART PACKAGING>
Design | Printing | Branding | Packaging
__________________________________________
TUNAPRINT Mifuko ya salfeti au viroba vya kuwekea Unga,mchele , vyakula vya kuku,mbolea,misumari. Pia tunaprint Staff Tshirts,Caps,Uniform,Form six,Mifuko ya aina yote and other Branding Materials kwa Screen Printing pamoja na Embroidery (Kudarizi) ___________________________________________ .
-For more inquiries Call Us: 0717 367693 /0757 618 176
Booking Email: wa2smartpackaging@gmail.com
Website: www.watusmartpack.blogspot.com

cocopeat.jpg
isalle.jpg
nut.jpg
___________________________________________
. PACKAGING| PRINTING | BRANDING | PROMOTIONAL MATERIALS | DIGITAL MARKETING |CORPORATE | WEBSITE |DESIGN
 
Bora nimepata pa kuanzia.

Naomba unipe dondoo ya gharama za utengenezaji wa hii mifuko kwa mteja mpya.
 
View attachment 1626814View attachment 1626815View attachment 1626816___________________________________________
. PACKAGING| PRINTING | BRANDING | PROMOTIONAL MATERIALS | DIGITAL MARKETING |CORPORATE | WEBSITE |DESIGN
Bei kwa mfuko ni ngap
 
Mnayo ile yenye lining ndani?

halaf ya kaki bei gani ya kilo 10
Mifuko 250
 
Back
Top Bottom