Fahamu machache kuhusu siku ya Wapendanao(Valentine 's Day)

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,030
20,379
MACHACHE KUHUSU SIKU YA WAPENDANAO((VALENTINE'S DAY)

Salute mate, hongereni wenye wenza kipindi hiki cha tarehe 14 februari.

Pia hongera kwangu kwa 10,000 Messages since nijisajili cheers 🥂🥂🥂
Back to topic,
Yafuatayo ni machache kuhusu Siku ya wapendanao yaani Valentine's day.

1- hufanyika kila tarehe 14,February kila mwaka tangu karne ya 3 mpaka sasa.

2- siku hii watu wengi hupata wapenzi wapya, pia ni siku ambayo ndoa nyingi huvunjika.

3- matunda ya Apple (tufaha) ndo huuzwa sana pamoja na maua hasa ya uwaridi(Rose).

4- Ni siku ambayo nyumba nyingi za wageni nazakupumzikia(guest house, lodge, na lounge) hupata wateja zaidi ama kujaa kabsa.

5- Siku hii inanguo kuu zenye rangi tano na rangi mbili ambazo si kuu sana.

6- Lakini rangi nyingi zinazo onekana na kuvaliwa ni nyekundu.

7- huadhimishwa karibu duniani nzima kwa nchi zote.

8- lakini pia wakristo ndo husherekea sana japo kwa waislamu ni wachache wanao sherekea kikawaida haiwahusu kutokana na mwanzilishi ni padre(mkirsito mkatoliki). Yaani padri Valentino

9- wakatoriki hua ni siku yao mhimu ambayo ni siku ya kutangazwa kwa padre Valentino kua mtakatifu na mfia dini.

10- zifuatazo ni rangi na maana yake ukivaa siku ya Valentine;

👉Nyekundu; inaashiria unampenzi

👉kijani; inamanisha unatafta mpenzi.

👉Njano/machungwa; inamanisha unaenda kuposa

👉Nyeupe; inamanisha uko kwenye uhusiano wa ndoa
👉kijivu; inamanisha uko peke yako(single)

Rangi nyingine ni
👉blue; inamanisha uko huru (Free) hivyo yeyote anaweza kuungana na wewe
👉Nyeusi; inamanisha uko na fraha siku Hiyo.

Hiyo ndo Valentine je, wewe kipi unajua kuhusu siku Hiyo?
 
Upagani unaovutwa ili muharalishe na muutukuze kwa sherehe...
 
Haya mambo tunaiga tu
Suala la kupendana ni la kila siku
Wengine leo hata sms moja hatujapokea
That's means michepuko iko kwa watu wao
Tunasubiri kesho waanze kutusumbua
Mizinga nk

Ova
 
Haya mambo tunaiga tu
Suala la kupendana ni la kila siku
Wengine leo hata sms moja hatujapokea
That's means michepuko iko kwa watu wao
Tunasubiri kesho waanze kutusumbua
Mizinga nk

Ova
Hakika wengine acha tuache siku ya leo ipite.
 
Back
Top Bottom