Exim bank kuweni serious na wateja

naumbu

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
4,717
8,081
Merry Xmas wanajamii! Nina kero na hii Bank ya Exim kama imechoka kufanya biashara isijitangaze,hii Bank Ina ATM chache na hizo hizo nyingi unakuta hazifanyi kazi.Jana watu walikua wanazunguka jiji la Dar kutafuta ATM ambayo inatoa pesa lakin mpaka imebidi tufanye alternative nyingine za kupata hela za Xmas Wametoa mastercard lakini ukienda kwenye ATM za Bank zinazokubali visa na MasterCard unaambiwa hamuwezi kufanya muamala sababu Bank yako hairuhusu na Muda mwingine unakatwa hela wakati haijatoka,kuipata tena hiyo hela ni siku 20 had 45 baada ya kujaza fomu ya malalamiko.Ingawa huu ni mwezi wangu wa mwisho kuwa mteja wenu ila nawaambia kuweni serious ushindani ni mkubwa na hiyo customer care yenu ni mbovu especially hilo tawi lenu la Shekilango wanahudumia kama wamelazimishwa au mnawalipa hela ndogo?
 

Wanasifa ya kuibia wateja kwenye Account zao, kuna mtu wa 'mawe' alipigwa Bilioni 3 !
 
Exim ina tatizo kubwa. Kwanza wamelazimisha baadhi ya wateja waongeze minimum balance kwenye account zao. Pili wateja wengine wamelazimishwa kutumia cheque book na wamesubiri muda mrefu kuzipata hizo cheque books. Tatu kuna baadhi ya watu wanalazimika kusubiri muda mrefu wakitaka kutoa pesa kwenye account zao hasa za kigeni
 
Na usiombe mshahara upitie kwao. Yaan ww jua pesa yako ni tar 35 ndo mwisho wako wa mwezi
 
Jamaa hawako serious kbs......wako huru mno.....mgt si nzuri. Wanafanya mambo kwa kubahatisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…