Hujamjibu jamaa ulichofanya ni kileta siasa tu kwenye jambo hilo. Ulichotakiwa kifanya ni kituonyesha sisi tusiojuwa umuhimu wa EWURA, umuhimu wakeunakosea kusema EURA haina faida kwa watanzania SEMA HIVI eura haina manufaa kwa wanaUKAWA maana nyie ni wapinga maendeleo ya nchi hii......Naikubali EURA,huwezi shusha mafuta bcoz ww umenunua passo 1989. lazima ihakikishe inapandisha makusanyo ya nchi.
Tunaangalia stoke ya mafuta mkuuUwezi sema wanafaida NA watanzania wakati mafuta yanapitia dar to Rwanda Leo hii being ni ndogo kuliko Tanzania..inamaanisha mini
Tusaidiane hapo
unakosea kusema EURA haina faida kwa watanzania SEMA HIVI eura haina manufaa kwa wanaUKAWA maana nyie ni wapinga maendeleo ya nchi hii......Naikubali EURA,huwezi shusha mafuta bcoz ww umenunua passo 1989. lazima ihakikishe inapandisha makusanyo ya nchi.[/QUOTeb)
Usilete siasa wakati ukweli upo wazi, soko la dunia kwa sasa mafuta yameshuka bei na mfano mzuri ni majiarani zetu (Kenya ) mbona wao wameshusha bei ya mafuta sisi kinachoshindikana ni nini hasa kama sio upigaji tuu
Usilete siasa hapa soko la dunia limeanguka kwa upande wa mafuta yameshuka bei na taarifa zishatangazwa kinachoshindikana kupunguza bei ni nini hasa kama sio upigajiunakosea kusema EURA haina faida kwa watanzania SEMA HIVI eura haina manufaa kwa wanaUKAWA maana nyie ni wapinga maendeleo ya nchi hii......Naikubali EURA,huwezi shusha mafuta bcoz ww umenunua passo 1989. lazima ihakikishe inapandisha makusanyo ya nchi.
HAWA JAMAA NI KTK MASHIRIKA YANAYOJILIPA HELA NYINGI SANA KWENYE MISHAHARAYAO NA POSHO ZAO.,CAG IMEWAHI KUSHAURI KUWACHUNGULIA NA KUREKEBISHA HILO AS IF WAKO MAREKANI
PAMOJA NA PESA HIZO AWA JAMAA AWAKO KWA AJILI YA MSAADA WA WATSNZANIA NA SERIKALI KWA JUMLA..NILISHAWAHI KUSEMA HUMU KUNA JAMAA WA VITUO VYA.MAFUTA WAMEFUNGIWA MASHINE ZA EFD MOJAKWAMOJA KAMA MAKARATASI AYAPO UNAKUTA MASHINE AITOI MAFUTA EG..TOTAL PALE MLIMAN CITY
LAKINI UTAKUTA VITUO VINGI EFD WANATOLEA MKONONI..HU NI UOZO KAMA MKO SABABUYA SERIKALI KWANINI BASI MSISIMAMIE KILA PAMPU ZA MAFUTA ZIWE CONNECTED NA TRA MASHINE...
KAMA AITOSHI AWA JAMAA WANAJUA KABISA KABISA BAADHI YA VITUO VINAIBIA WANANCHI KWA KUTOA UPEPO LAKINI PAMP INASOMA KAMA KAWAIDA..KUNA MKUBWA ALISHATOKEWA WAKAJIFANYA KUFUNGIW BAADHIYA VITUO UKWELI HAWA JAMAA WANAJUA WEZI WANAOCHAKACHUA MAFTAA
WANAJUA WEZI WANAOIBIA WATANZANIA NA PAMPU ZAO FEKI KWA KUTOA UPEPO...NK
MH RAID MAGUFULII EMBU ANZA NA HAYA MAJIPU YANAUMIZA KICHWA SANAA
LAMWISHO KUWASAIDIAAAA JAMANI MAFUTA YAMESHUKAA SANA BEI NENDENI UGANDA RWANDAA AMBAO WANAPITISHA MAFUTA BANDARI YETU NI BEI RAHISI KULIKO SISI
EMBU MH RAISI TURUDISHIEN TPDC MENOYAKE WAPENI VITENDEA KAZI TUACHANE NA HIZII SANII ZAKILA SIKUU MNAIITA MAMLKA MAMLAKA ZA......MAFTA YAMESHUKA SANAJAMAN NENDENI MKAGOOGLE AWAJAMAA AWASHUSI SABABU KUNA WAHUSIKA WAKO NA HIZO VITUI VYA MWFUTA NA WENGINE WANAKULA PER MONTH VITUON NA WENGINE WANAUNDUGU NA WENYE VITUO VYA MAFUTAA
MH RAISI EMBU ANZA NA HAYA MAJIPU WHY TUTESEKE HIVI
LINI MAFUTA YATASHUKA TANZANIAAKUENDANA NA SOKOLA DUNIA
Stoke imefanyeje..??Tunaangalia stoke ya mafuta mkuu
Dah! Chief umeuelewa uzi wa huyu kiongozi vizuri? .. Kumbe mamvi alikuwa na maana kubwa sana aliposema ELIMU ELIMU ELIMUunakosea kusema EURA haina faida kwa watanzania SEMA HIVI eura haina manufaa kwa wanaUKAWA maana nyie ni wapinga maendeleo ya nchi hii......Naikubali EURA,huwezi shusha mafuta bcoz ww umenunua passo 1989. lazima ihakikishe inapandisha makusanyo ya nchi.