Ewe Nape hata 2015 ulimtaka Membe lakini hakuwa, CCM haina mwenyewe

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
708
2,859
Hili ni bandiko la kumkumbusha tu Nape Nnauye kuwa si kweli kwamba CCM ina wenyewe kama alivyosema kwenye bandiko lake la jana huko twita akimjibu kiroboto.

Bwana Nape akiwa kiongozi wa juu kabisa wa ccm kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015 alimtaka sana Benard Membe ndiyo awe mgombea wa CCM na alifanya kila njia lakini hakufanikiwa, je kama ina wenyewe kwa nini alishindwa?

Hata kama ana kichwa cha kusahau sana mithili ya panzi basi asubiri tena 2025 akumbushwe kwa vitendo kuwa ccm haina mwenyewe.
 
Wache waparuane

IMG-20211212-WA0043.jpg
 
Komredi Nape kusema CCM ina wenyewe amemaanisha kuwa WENYEWE ndani ya CCM wameiva ITIKADI YA CHAMA.

Wenyewe ndani ya CCM wana uvumilivu wa KIUONGOZI.

Wenyewe ndani ya CCM si "lopolopo" kama Komredi Polepole.

#SiempreCCM
 
Leo Polepole anaitwa kiroboto, maisha yanaenda kasi sana...
 
Chama cha mapinduzi ni mali ya wafanyakazi na wakulima kwa ujumla hapo ni watz wote ila nachokiona hapo ni kuwa wale aliotangulia kuhuduma katika chama na familia zao wanajioona wao ndo wenye haki na chama na wengine wakuja Naomba nape ajuwe kutangulia sio kufika kwasasa watz wanataka viongozi ambao watawaletea mambo yafuatayo sio mzazi au babu alikuwa kwenye historia

* uhakika wa chakula,maji,mavazi
*atayesimamia rasilimali za nchi
* kulinda wananchi na mali zao
*atakayekemea uonezi,wizi na ufisadi
*atakayesimamia ulipuko wa bei za vitu
*atakayekuwa tayari kufa kwa ajili ya kupambania watu watu
*uhakika wa matibabu na sawa
*atakayesimmia haki
Na mengineyo
 
Back
Top Bottom