Ewe mwanamke acha kujichua

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
4,241
7,498
Mwanamke Umewahi kupiga punyeto? Umewahi kujichua? Umeshazoea si ndiyo? Unajua madhara yake?

Punyeto ni nini?
Punyeto ni kitendo cha kujichezea sehemu za siri ili kujisisimua na kujiridhisha kimapenzi. Iwe kwa vidole, tango, karoti, midoli ya maumbile ya kiume, vibrators n.k. Kuna njia nyingi sana za upigaji punyeto kwa wanawake, hata wewe binti unayependa kuangalia picha za uchi na video za ngono pia umo hatarini.

Haya ni baadhi ya madhara anayoweza pata mwanamke anayejichua au kupiga punyeto;
1. Inaharibu kizazi kutokushika mimba na hata akishika huharibika pasipo sababu.

2. Inakufanya kuwa mvivu mara kwa mara, unakuwa wa kulala masaa mengi, unakosa nguvu, unashindwa kutembea juani, joto likizidi mwili unawasha, unaweza kulala siku nzima ndani, uvivu mwanzo mwisho.

3. Kupoteza hisia, kukosa hamu na mwanaume, yaani unakutana kimwili na mwenza wako huhisi chochote au kusikia maumivu makali. Unazoea kitu kisicho na feelings, uke wako unakomaa vibaya kwahiyo ulaini wa uume hautaweza kukusisimua, unapoteza radha halisi. Itafika hatua hata ukijaribu tu unapata maumivu si ya nchi hii, hautafanana na mwanamke ambaye ameutunza utamu wake.

4. Kusumbuliwa na maradhi kama P.I.D na U.T.I sugu kwa maana uke unakuwa hauna ulinzi. Uke kwa asili unalindwa, ila unapotia mavitu ukeni yanaharibu mfumo wa ulinzi, wadudu wanapitishwa na kuingizwa ndani.
Afya yako ya ukeni inakuwa mgogoro, na hata UTI ndogo itakutesa sana.

5. Uke kua mlegevu yaani mtepeto, kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya. Uke unalegea vibaya, mashavu ya uke yanatepeta, uke unakosa mvuto kabisa, mwisho unaanza kuona aibu mwanaume kuyaona maumbile yako.

7. Huwezi kuja kujua raha ya tendo la ndoa ukizoea punyeto sana. Yaani hata upewe penzi tamu kiasi gani wala hutafurahia, hutahisi utamu, kwako inakuwa sawa na hamna. Kazi yako inakuwa ni kufanya mapenzi ili udake mimba na si kufurahia mapenzi halisi.

8. Inapelekea uke wa mwanamke kukosa ladha hivyo itapelekea kukimbiwa na mwenza wako. Ukishaathiriwa na Kujichua basi hata ufanye mapenzi saa zima hautaridhika, hautafurahia ila ukienda bafuni unajichua dk. 2 umeshakojoa, mwanaume atakukimbia. Unakuwa kama mwanaume tu.

9. Inakufanya kua na hasira za mara kwa mara. Unakuwa mkali sana, unakuwa unawadharau wanaume, unaanza kudhani wanaume siyo wa muhimu maishani mwako. Kitu kidogo utalalamika na kufoka sana, unaweza kuwa na tabia mpya ambayo hujui imetoka wapi? Unaweza kuwa na ujasiri wa kupigana na wanaume, yaani roho ya mwanamke inakutoka pole pole.

Waathrikika wa hili tatizo la kujichua ni wanawake walioumizwa, wanawake wa kanisani (mabinti ambao hawahitaji mahusiano ya kimapenzi kwa hofu ya kidini). Mara nyingi husema Yesu anatosha, ukiwa na Yesu utazishinda tamaa za mwili.

Lakini wakiwa peke yao wanajichua ili wasiingie kwenye mahusiano ya kimapenzi. Wanawake waliyosoma shule za wasichana pekee, wameangukia kwenye hili janga baya na hadi leo wameshindwa kuacha.

Je, nini ufanye?
Kwanza acha kabisa kujichua, najua si rahisi lakini jitahidi uache, ukihitaji msaada niambie. Kisha, kama upo kwenye ndoa na hauna hisia unaweza kupata huduma ya ushauri, kisha utapewa virutubisho vitakavyokupa mwongozo maalumu na hisia zako zitarudi. uke wako utakuwa na joto safi, ute wa kutosha na hata kuhisi ladha ya penzi pia.

Bado haujachelewa na Mungu akusaidie, hakukuumbia hiyo kitu ili utie midoli au vidole bali kwaajili ya penzi halisi.
 
Back
Top Bottom