Ewe mkulima. Hebu soma hii nyaraka, hutajilaumu

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,222
1,235
Habari wanajamii Kilimo,

Binafsi nimepitia hii nyaraka, kwa wale wapenda kilimo kama mimi ukiipitia hii document itakufungua macho sana kuhusu zao gani lipewe kipaumbele kutokana na eneo ulilopo hivyo hutalima kwa wasiwasi tena
Hebu chunguza wilaya yako na nini kinafaa kilimwe

Source: Wizara ya kilimo na Uvuvi
 

Attachments

  • MWONGOZO_UZALISHAJI_MAZAO-CROP_GUIDELINE-TANZANIA-04JULY2017.pdf
    2.7 MB · Views: 28
Nisha save Ili nisome lakini wizara ya kilimo sijui kama IPO salama, mana Iko chini ya msomali ndo mana sukari inapanda bei. Rais kapewa alert inabidi ashughulikie. Wakimbizi wengi wanahujumu uchumi.
 
Back
Top Bottom