Kilichokuleta hapa nini? au unataka kupigwa kobiro?Hizi post za hovyo .....tafuta za kujenga maendeleo na kukwamua watu..Sio za kijinga kama hii...haisaidii...
Hapa kazi tu! Hakuna kufungua maduka au shughuli mpaka saa nne kila jumamosi!!! Ni siku ambayo watu wanahitaji kufanya shopping mapema na warudi majumbani kufanya shughuli zao! Huo muda ni wa wafanyibiashara kujiingizia kipato mmewabana wanalipa ada za usafi (huduma za jiji) kwa ajili ya nini? Je tulipokuwa shule za msingi na sekondari tulifanya usafi kuanzia saa moja hadi saa NNE???!!! TafakariHizi post za hovyo .....tafuta za kujenga maendeleo na kukwamua watu..Sio za kijinga kama hii...haisaidii...
Msemakweli kadanganya nini. Kama meli mmeshaambiwa 30. Nagari ni mapya siyo ya znz. Hajadanganya tumuombee.
mm naongezea ni mnafiki wakutupwa.Sio busara kumuita rais muongo bora useme sio mkweli