Marwa Chacha Senior Member Feb 5, 2015 102 51 Mar 7, 2017 #1 Wana Jf kwa maendeleo anayofanya Mhe Esther Bulaya katika jimbo la Bunda mjini tangia apate kiti cha ubunge inaonekana.je Mzee wetu wasira kwa miaka aliokuwepo Bunda kama mbunge na amini Bunda ingekuwa Dubai ndogo kwa sasa.
Wana Jf kwa maendeleo anayofanya Mhe Esther Bulaya katika jimbo la Bunda mjini tangia apate kiti cha ubunge inaonekana.je Mzee wetu wasira kwa miaka aliokuwepo Bunda kama mbunge na amini Bunda ingekuwa Dubai ndogo kwa sasa.
kirikou1 JF-Expert Member Nov 8, 2016 4,814 6,514 Mar 7, 2017 #2 Tupe ABC za alichofanya mkuu alipewa Baraza?
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Dec 14, 2016 13,998 31,744 Mar 7, 2017 #4 Kuna wakati tunasahau kuwa Tanzania ni kubwa toa habari iliyo kamilika
Ze General JF-Expert Member May 10, 2014 1,508 1,251 Mar 7, 2017 #6 Ila bunda imeanza kuchangamka sasa hiv sio kama zama zileee