Ester Bulaya agawa vitabu vya michepuo ya Sayansi na Sanaa kwa shule zote katika Jimbo la Bunda

Hongera kwake Mbunge.
Je jumla ya vitabu ni ngapi kwa kila 'level' na vinagharimu shilingi ngapi!?
Amevikabidhi kwa wakina nani!?
Amenunua yeye kwa pesa yake ama ni ufadhili wa wadau?
Ni vitabu vya kiada au ziada!?

All in all anafanya vizuri.
 
, Mheshimiwa Ester Bulaya amagawa vitabu vya michepuo ya Sayansi na Sanaa ( Art's) kwa shule zote za Msingi na Secondary katika Jimbo la Bunda.

Mimi kama mwana CCM NAKUPONGEZA sanaa ESTHER Bulaya.Haya ndio CCM tunataka tunayaone wabunge wakiwafanyia wananchi.Sio vitu hewa kama sijui opetation UKUTA,sijui KATA funua,SIJUI nani shoga au nimeota nani kafa au kelele za akina LISU na GODBLESS LEMA na wapiga porojo akina Msigwa na SUGU.

Hizo picha apelekewe Tundu LISU na aulizwe jimboni kwake atapeleka vitabu lini mashuleni JIMBONI KWAKE? kutwa anashinda kisutu mahakamani kwa kesi za kujitungia badala ya kushinda jimboni kwake akifanya maendeleo kama hayo.

Hongera Esther BULAYA KEEP UP
 
Malkia wa nguvu wapo wengi sana na hasa Mikoani, Hongera Bulaya..
 
Nadhani hivyo vitabu ni vya Prof. Sospeter Mhongo alivyo wagawia wabunge wote wa MARA bila kujari itikadi za kisiasa.
Mhongo amefanya hivyo Jimbo la musoma vijijini kuanzia madawati na vitabu. Nadhani kuna container kama 2 ziliwasili kutoka Ulaya kwa ajili ya Prof. Mhongo.
 
Books for Africa wanagawa vitabu bure kuna njia mbili za kupata 1. Unachangia shipping cost, clearing na transport mpaka site. 2. Kama hua uwezo unaandika proposal kuomba msaada wa kusaidiwa gharama za namba 1. Hakuna price katika kununua vitabu na wanatoa vitabu hata container zima ukihitaji. Wana ofisi Dodoma pia ambapo ukienda pale kwao unaingia stoo unachagua vitabu unavyotaka vikijaa box moja kubwa unalipia laki 2
 
Una proof yoyote..
 
bwana yule atakua anaangalia hii habari kwa nusu jicho, hataki kabisa kusikia upinzani wafanya kitu
good work mbunge
 
Una proof yoyote..
Ndio. Hata ITV ilirusha LIVE habari hii miezi 3 imepita.
Pia niliwahi hudhuria mkutano mmoja wa Prof. Sospeter Mhongo akaliweka hili bayana.

Mhongo kafanya vingi zaidi ya vitabu. Kuna Ambulance ipo Murangi Hosp. Pia kuna Mini ambulance kibao katoa jimboni mwake.

Madawati yalichongeshwa SUMA JKT Mwz kwa hela zake na wahisani siyo wananchi.

Kwa maelezo zaidi search online utapata. Au ingia website ya jimbo la musoma vijijini utakuta kila kitu. Kuna hadi contacts za wawakilishi wake kila tarafa unaweza kuwa uliza hilo.
Www.musomavijijini.or.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…