Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
8,170
22,105
Kadiri unavyokua na idadi kubwa ya wanawake kwenye circle yako iwe kimapenzi au kirafiki ndivyo unavyojiandalia maisha ya kuishia kwenye umasikini. For every 10 women you attract into your life only one genuine woman might respect and value you, other nine just want a piece of your success

Usijidanganye kwamba ni marafiki tu, siku zote mwanamke anachokiona kwa mwanaume ni masilahi tu, namba yako ipo kwenye simu yake kimkakati, soon or later utapigwa mzinga tu, sawa kama hauna au hautaki kumpa utamtosa tu lakini mazoea ya kuombaomba yanapojirudia rudia inakua kero.

Maisha yako kiuchumi yatakua na unafuu na yataimarika zaidi ukijiepusha na wanawake. A man who has too much attention from women is at constant risk of being distracted, manipulated and taken down. Don't fooling yourself that you're handsome or attractive man, the truth is all those women sees you as a resource not as human being.

Kwa kipindi chote ambacho bado u kijana unaepambana kujikwamua na umasikini basi mwanamke awe kitu cha mwisho kabisa kukifikiria. Don't do any financial stupidity to impress a woman.

Wanawake ni parasite, hakuna namna utakua karibu nao bila mfuko wako kutoboka, wanakuja kwa ajiri ya kuchukua tu sio kuchangia.

Halafu sasa mwanamke uyo anayetaka kukubesha huo mzigo hakudai, hajakufanyia kazi yoyote, hajawahi kukupa ushauri chanya wala ramani ya mchongo wa kupiga pesa, out of nothing anajiona tu ana haki ya kunufaika na mfuko wako, this is totaly bullshit.

Kuna hitaji la wanawake wa Tanzania kufanyiwa consultation, it makes no sense mtu anajipa haki ya kupata gawio kutoka kwenye hela ambayo hajashiriki kuitafuta.

Mwanamke hana output yoyote kwenye maisha yako kaa nae mbali kwa sababu hakuna utakachonufaika kutoka kwake zaidi ya kukupotezea muda na hela tu.

A woman is liability in your life, more women in your life more liabilities.
 
Mafua yamejibana Leo jiwezi comment chochote kwa hapa uwezi uchomoi ndugu mwandishi
FB_IMG_1725295500421.jpg
 
Umeongezaa point mpk zimemwagikaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom